Sijui mjadala wenu umeanzia wapi lakini nakubaliana na
Magobe T kuwa huwezi kuweka "each and everything" kwenye katiba.
Hata ukiangalia nchi kama
Marekani, Uingereza, Ujerumani na Afrika ya Kusini ambazo zina probably the most advanced constitutions siyo kila kitu kimewekwa kwenye hizo katiba zao.
Indeed, watu wengi sasa wanataka kuishi in a free, unregulated world. Sometimes, too much laws doesn't do us any favour. Kama kila mtu akiamini na
kuheshimu haki yako ya kuwa na familia na wewe ukiheshimu pia haki za hao watu, then hakuna haja ya kuwa na sheria ya kulinda hiyo haki kwa sababu haitakaa ivunjwe anyway.
Badala ya ku-judge matendo yetu based whether they are lawful or unlawful tu-base zaidi kwenye whether our actions or omissions are right or wrong.
Juzi nilikuwa nasoma article moja ambapo tajiri mmoja katika ku-avoid kulipa tax kubwa alichukuwa karibia nusu ya faida yake na kukipa chama kimoja cha siasa. Hapo hakuvunja sheria yoyote kwa sababu tax avoidance siyo kinyume na sheria.
Hata hivyo, wananchi na vyombo vya habari walikuja juu na kudai kuwa, though it was legal, it was was not a right thing to do. Badala ya kukwepa kulipa kodi, the right thing to do was to pay full tax for his profits.
Usisahau kuwa originally sheria zilianzishwa kwa ajili ya kulinda watawala na walichonacho. Sidhani kama mambo yamebadilika sana.