jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
Kwa sababu ni jina lililoasisiwa na Wakoloni!
So unataka kusema kabla ya ukoloni ndo tulikuwa tunaitwa "tanzania bara"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu ni jina lililoasisiwa na Wakoloni!
So unataka kusema kabla ya ukoloni ndo tulikuwa tunaitwa "tanzania bara"?
Kuna hofu juu ya Utanganyika wetu?
Hata mimi niliposoma nikashanaa wanakazania Tanzania Bara kama vile Tanzania Bara ilikuwepo kabla ya muungano. Neno Tanzania Bara limekuja baada ya Muungano wa nci mbili Tanganyika na Zanzibar yaani Tan (Tanganyika) na ZA (Zanzibar) NIA ikiwa ni kiunganishi kutengenezea jina. Kwa hiyo bila muungano wa nchi mbili huwezi kusema Tanzania Bara maana hakuna nchi nje ya muungano inaitwa Tanzania bara kama ilivyo kusema Tanzania Visiwani. Wao wamesema hawataki Tanzania Visiwani na sisi hatutaki Tanzania Bara bali Tanganyika. Kwa tafsiri nyepesi ukisema sisi ni Bara je Mafia, Rufiji, Ukerewe, Ukara etc ttasema viko Tanzania Bara au viko Tanganyika lakini ni visiwa. Tanganyika lazima, na kama wamekataa kuitwa Tanzania Visiwani na sisi hatutaki Tanzania Bara. Neno Tanzania litakuja pale tutakapounganisha nchi mbili yaani serikali ya tatu ya jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Rejea sura ya kwanza,ibara ya kwanza ya rasimu ya katiba.Tanganyika sio nchi.
Mimi hilo jina la Tanzania Bara linanichefua. Hivi Tanzania Bara ndo iliunganana na Zanzibar?hata mimi nakwazika na hili jina! hivi akina warioba walipata ugumu gani kupachika jina tanganyika moja kwa moja?
Hata mimi sielewi kwa nini Tanganyika inapotezwa...
watanganyika mmefilisika.. hamna katiba , hamna nchi and hata jina mnataka mchangiwe.. daaaaaaaaaaahhhhhhhhhh funzo hilo baba kuenda kuona na kukaa kwa mke wako...na kinyume chake.. sasa anza kutafuta nyumba na mengineyo.. aibuuuuuuuuuuuuuu kwa watanganyikaaaaaaaaaaaaa.. anzeni cahp chap kutafuta pa kukaa kwanihapo mnapokaa ni kwetu soso annd at the same time sisi tuko na kwetu pale baraza la wawakilishi....
miniko kwetubaba.. mkataa kwao au mkataa jina lake mtumwa ka wewe hapovipi mliberali, hivi muungano ukivunjika utabakia kwetu na mumeo ccm au utaenda tafuta bwana mwingine arabuni?
Mnataka na nani mkuu?
Hiki ni kimojawapo ya mambo makuu yanayonifanya kukataa kutumia tena jina La Tanganyika. Tanganyika limekaa katika mtindo wa kutugawa...umeona mwenye unasema linalandana na ziwa Tanganyika...hiyo maaana yake nini...kwamba na Kilimanjaro watataka wasikie jina lenye uhusiano na walipo, Songea hivyo hivyo mto Ruvuma, Dodoma na Bwawa lao maarufu Mtera...nakadhalika nakadhalika.....
Mimi napendekeza turudishe Tanganyika ili liendane na lile ziwa Tanganyika.
Sijasema hivyo!So unataka kusema kabla ya ukoloni ndo tulikuwa tunaitwa "tanzania bara"?