MUUNDO WA MUUNGANO
limechukua muda mrefu sana
sehemu kubwa ya uchambuzi ilikuwa ni muundo wa muungano
sheria imeelekeza kuzingatia uwepo wa muungano
wapo waliotoa maoni kuwa muunh=gano uvunjwe
wapo waliosema usivunjwe
tume haikupendekeza muungano uvunjwe
wapo waliotaka 1 govt hawakuwa wengi bt sababu nzito
wapo waliotaka serikali 4 ie bara, unguja,pemba na muungano hapakuwa na sababau za maana
kulikuwa na wananchi waliotaka muungano wa mkataba esp zanzibar ( huwezi kuwa na muungano wa mkataba bila kuvunja muungano uliopo).waliopendekeza hili walisisitiza uwepo wa muungano
wapo waliopendekeza 2 govt na wengine 3 govt
wapo wamependekeza mfumo wa serikali mbili lakini kuwe na ukarabati mkubwa
3 govt pia kulikuwa na watu wengi
kila muundo utakuwa na changamoto
tume imependekeza muundo wa serikali tatu
serikali ya shirikisho, serikali ya muungano na serikali ya znz