habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
- Thread starter
- #161
kila jambo tulikuwa tunakubaliana kwa kuangalia maslahi ya taifa kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu si ufatilie hapa ndani kwenye huu uzi?au mpaka uone sura zao?wana Jf kwani Tbc huwezi kuona through mtandao, wengine hatuna luninga maofcn
Aliyeelewa hapa anifafanulie what is meaning of this? kama kuna watu siwapendi hapa nchini ni hawa DC na RC. ni ufujaji wa pesa za walipakodi bila sababu yoyote.wakuu wa mikoa na wilaya hawajaingizwa kwenye katiba. mia
Mgeni rasmi wa uzinduzi wa rasimu ya katiba ni magamu wa rais ghalib bilali
Warioba! Rais ateue majaji then ukampinge kwa majaji wake hapo supreme court? hivi wamezingatia nini? kama bunge litakwa kama hili la ndioooooooooo! Bado hakuna haki.
Yaani wamependekeza serikali 3
Ya shirikisho...
Ya Tanzania bara...
Ya Zanzibar...
Alafu wakajiamulia kutengeneza katiba ya serikali moja (shirikisho) peke yake!!! Sasa hizo mbili wamemuachia nani?!!! Ebo!
Uteuzi wa mawaziri majaji, razima wathibitishwe na bunge
Mbona kila maoni ni copy and paste kutoka KENYA?