1. Rais kuanzia miaka 40,
2. Mgombea Binafsi Ruksa,
3. Zigo la Wabunge wa kuteuliwa hatimaye tumelitua,
4. Serikali ya Tanganyika/Bara inarudi,
5. Urais ruksa kupingwa mahakaman baada ya uchaguzi,
6. Rais anaweza shtakiwa,
7. Wabunge kutokuwa Mawaziri,
8. Wateule wa Rais kuhakikiwa na Bunge,
9. Tume huru ya Uchaguzi,
10. Taifa sasa kuwa na Misingi, Tunu (values) na Goals,
11. Maadili ya viongozi yatakuwa juu,
12. Wananchi kuwa na haki kuwatoa wabunge wababaishaji any time,
13. Wizara kuwa 15 tu, 14. Maspika kutotokana na Wabunge,
15 Supreme court kuanzishwa,
16. Wabunge wa muungano 75 tu,
17 Mambo ya Muungano kubaki 7 badala ya 22.
18. Serikali ya Majimbo yakataliwa, zaidi yatajadiliwa kwenye katiba ya nchi husika
19. Kura za rais lazma zizidi 50% ya voters, zisipotimia wawili wenye kura nying tutawashindanisha tena,
20. Uwepo wa Bunge la Tanganyika
THIS IS EXCELLENT!As for me! Rasimu nimeikubali sana! Nadhan Katiba hii itaaddress mambo mengi ya msingi ambayo tunayatolea povu leo hii.