RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

kila jambo tulikuwa tunakubaliana kwa kuangalia maslahi ya taifa kwanza
 
wakuu wa mikoa na wilaya hawajaingizwa kwenye katiba. mia
Aliyeelewa hapa anifafanulie what is meaning of this? kama kuna watu siwapendi hapa nchini ni hawa DC na RC. ni ufujaji wa pesa za walipakodi bila sababu yoyote.
 
Wadau naomba jibu la "Katiba mpya imeondoa vyeo vya Ukuu wa Mikoa na wilaya"?
 
Serikali za majimbo eti zitaleta utofauti mkubwa wa maendeleo, hivyo hazijapendekezwa ikiwemo gharama za uendeshaji.

Mbona mfumo uliyopo ndo umeleta utofauti mkubwa sana? Majimbo yawepo bhana yachuane kujipatia maendeleo. Tushuhudie watu wa kusini watakavyopiga kasi. Hapa tume ifikirie upya na wananchi tukomalie hoja hii ya majimbo.
 
Mgeni rasmi wa uzinduzi wa rasimu ya katiba ni magamu wa rais ghalib bilali

Hapo kwenye RED and Bold, nimejaribu kuangalia kwenye Standard Keypad , Herufi G na K Zimekuwa separated na Herufi Mbili, H na J, so ni vigumu sana ku make such an error,
Sasa nashindwa kuelewa Kama ulichoandika ni KILIBERALI ama Kiswahili chetu hiki cha Kawaida
 
Wazanzibari waanze kufungasha sasa, waende kwa waliberali wenzao...
 
mwisho, tunaenda kwenye mabaraza ya katiba,wawe huru, watupe maoni yao kwa uhuru ili tuiboreshe rasimu hii.....
 
This is another useless paper...
Huwezi kupendekeza serikali tatu, alafu ukajiamulia kutengeneza katiba ya serikali moja tu kati ya hizo!!! Ni upuuzi...
 
Natamani kujua uteuzi wa majaji na mahakimu! Natamani pia kusikia katiba inasemaje juu ya Muundo wa majeshi yetu na vymbo vya usalama!
 
Warioba! Rais ateue majaji then ukampinge kwa majaji wake hapo supreme court? hivi wamezingatia nini? kama bunge litakwa kama hili la ndioooooooooo! Bado hakuna haki.

Yani hapo ndipo aliponikwaza! Tutarudi kule kule
 
Yaani wamependekeza serikali 3
Ya shirikisho...
Ya Tanzania bara...
Ya Zanzibar...

Alafu wakajiamulia kutengeneza katiba ya serikali moja (shirikisho) peke yake!!! Sasa hizo mbili wamemuachia nani?!!! Ebo!


Wamewaachia wale ambao hawana katiba yao ili nao siku zijazo watengeneze katiba yao.
 
sasa rasimu hii itapelekwa kwenye yaleeeeeeeeeeeeeeeee mabaraza ya katiba....................... (usanii)
 
Back
Top Bottom