SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
Kura zaidi ya 50% ndio kushinda urais
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hapo sawa. Mia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura zaidi ya 50% ndio kushinda urais
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
CCM Niwajuavyo wanaweza kupenya kwenye mabaraza ya katiba na bunge la katiba na kubadili mambo!Tanganyika is BACK
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu Katiba si ya Chadema wala CCM. Hakuna kupigwa chini sera za chama. Majimbo ni sera ya CDM na itabaki hivyo.Su chadema sasa wapigwa chini na sera yao ya majimbo
Kuhusu ma RC na ma DC hilo si swala la muungano litajadiliwa na serikali husika kama kuna ulazima wa kuendelea kuwepo.Aliyeelewa hapa anifafanulie what is meaning of this? kama kuna watu siwapendi hapa nchini ni hawa DC na RC. ni ufujaji wa pesa za walipakodi bila sababu yoyote.
Usiwe na haraka tuko katika uundwaji,katiba ya tanganyika ipo ikulu kwenye kabati imehifadhiwa, wataitoa tu tuitie viraka au mutaiandika upya. Nice Warioba, mamalaka kamili ya zanzibar, oyeeee
Acheni ujinga, Tanganyika imerudi bila katiba......wenzenu Zenji wana katiba na hii ya Warioba ni rasimu ya Tanzania, ya Tanganyika iko wapi
Wakuu wa mikoa na wilaya sio la muungano , hivyo washirika wanaweza kuliangalia kwenye utendaji wao kama upande mmoja uwepo ama laaa
serikali za mitaa nalo sio la muungano hivyo kila serikali itaamua muundo wake yenyewe
Hakuna serikali ya Tanzania Bara, tunahitaji ya Tanganyika!
Sasa kama uongozi wa nchi itakuwa ni serikali 3, jmt, tanganyika, na zanzibar.. Je katiba ya tanganyika inatengenezwa na tanganyika yenyewe???
Mnatafuta utani na maalim Seif?mambo 7 ya muungano
katiba
uraia
sarafu
mambo ya nje
usajili wa vyama vya siasa
ushuru na kodi
Tanganyika ikisharudi .....Muungano utakuwa sawasawa na hakuna...utakuwa na maaisha mafupi sanaMuuungano hauvunjwi
Hapo nafikiri labda hujapaelewa vizuri, mimi nafikiri wana hoja ya maana kwamba, kama Mbunge akifariki basi hakuna haja ya Uchaguzi ili kuokoa gharama, basi mrithi wake atatoka Chama kile kile tu, hivyo ina maana Chama chake watateua tu, badala ya uchaguzi kufanyika, kwa maana nyingine tunapaswa tuchague Sera za Chama na SIO mtu!
kwa maoni yangu Rais aliyepo madaraka muda wake je utasogezwa au?We tukana tu, lakini baadaye utajiona mjinga wenyewe... Zanzibar wana katiba yao. Ya shirikisho ndio hiyo tunaitengeneza. Ya Tanzania bara iko wapi, itatengenezwa lini?, na nani? na 2015 Watanzania bara watachagua raisi wao, wabunge wao na viongozi wengine kwa kutumia katiba gani. Huwezi kutengeneza sheria kama huna sheria
mama (katiba)...
Hili suala ni la kitaifa, hiv huwezi kuchangia kama freelance bila kuanza chokochoko??? utayumbisha mjadala humu ndani na kutuchafulia hali ya hewa.Su chadema sasa wapigwa chini na sera yao ya majimbo