Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Huu ni upuuzi mwingine, uwasa wa kijinsia hauji kwa ukuwa na idadi sawa ya jinsia bungeni, hao waliopo bungeni kwasasa wamefanya nini kuinsure wanawake wazao wanapata haki zao?mkuu Matola mimi mwenyewe jambo hili siliafiki hata kidogo,mbunge mmoja anatosha sana,kama wameweza kutoa viti maalumu kwa nini wanatuletea tena huu mzigo mwingine?ni nini mantiki ya kuwa na wabunge wa jinsia zote ktk kila jimbo?ni ktk harakati za kutafuta usawa au ni nini?na je usawa unatafutwa kwa kufanya km sisi tunavyotaka kufanya?we have to be very keen here na sio kukurupuka.
Last edited by a moderator: