Majimbo yaunganishe/yapunguzwe na wachaguliwe wabunge wa Muungano ambao hawazidi 150. Tupunguze gharama za kuhudumia bunge - ni kubwa mno kwa sasa. Nawakilisha maoni yangu
This can't be fixed maana kila serikali ina prioritiews zake, wengine wanapenda kuweka mining na energy pamoja, next inaweza kuamua kuziachanisha etc. Sijui kama kuna nchi imeweka a fixed number.idadi maalum ya wizara..
This can't be fixed maana kila serikali ina prioritiews zake, wengine wanapenda kuweka mining na energy pamoja, next inaweza kuamua kuziachanisha etc. Sijui kama kuna nchi imeweka a fixed number.
Napinga kwa akili na hekima niliyokirimiwa na Mungu wangu jaji mkuu kuteuliwa na Rais! Kuna ujanja hapa...eneo ili lifanyiwe kazi na wahusika. Katiba mpya iweke bayana nini chakumfanya Rais anayeenda kinyume na katiba.
Binafsi naona kama hii rasimu imejikita zaidi kwenye upande wa siasa zaidi na kuna mambo mengine naona kam ahayakupewa kipaumbele mathalani Mfumo wa Elimu, Afya, Utalii na nyanja nyinginezo zisizohusika moja kwa moja na siasa
Kwa walioelewa hapo naomba wanisaidie, inakuwaje Mawaziri wasihudhurie vikao vya bunge? Nani atakuwa anajibu maswali ya wabunge bungeni?Mawaziri hawatahudhuria vikao vya Bunge isipokuwa kama watahitajika kutoa ufafanuzi kwenye
kamati za Bunge.
Pia kuna suala la kuwa na spika wa bunge aliyechaguliwa, labda na wananchi asiye na mafungamano na chama chochote cha siasa kati ya vilivyo bungeni.
Tanzania right now as we speak kuna waziri asie na wizara maalum..
Wanaj
yafuatayo ni baadhi ya maoni ya watanzania waliyotegemea kuyaona katika rasimu ya katiba mpya lakini giza;
- kutambuliwa kwa kiswahili kama lugha ya taifa
- mikataba yote kujadiliwa bungeni
ongeza na yako tuone
Oh, you mean hana ruhusa ya kuongeza wala kupunguza bila kuomba ruhusa bungeni? Maybe that.Marekani Rais hawezi ongeza wizara au punguza bila kuomba ruhusa ya bunge
au kuvunja na kuunga wizara fulani
Tanzania right now as we speak kuna waziri asie na wizara maalum..
IGP aombe kwenye tume ya ajira asiteuliwe na rais