Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mgombea binafsi ruksa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hapo kwenye red tuipinge hii idea kwa nguvu zote, nani ataingia gharama kuwalipa lundo lote la wabunge hawa comedy show? idadi ya wabunge wa sasa inatosha sana.Mapendekezo ya wabunge:
Kuwe na makundi mawili:
1. Wa kuchaguliwa jimboni (mmoja mwanamke mwingine mwanamke)
2.Wa kuteuliwa na rais (walemavu)
3.Hakuna viti maalumu
4.Ukomo wa uraisi awamu tatu
5.Hakuna uchaguzi mdogo. nafasi itajazwa na chama kile kile
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
madaraka ya rais wapo waliosema yapunguzwe wengine yabaki
tume inapendekeza madaraka yake ya uteuzi wa viongozi wa juu yabaki kwa rais na uteuzi wa ngazi za chini yaende kwa tume ya utumishi
mawaziri, manaibu, jaji, vyombo vya ulinzi atateua rais na atashauriwa na baraza la usalama la taifa
Mbona kila maoni ni copy and paste kutoka KENYA?
Wame copy katiba ya kenya
Hilo baraza la usalama liwe na nguvu na huru ili Rais anapopendekeza jina lipigiwe kura na baraza la usalama.