RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

Mapendekezo ya wabunge:
Kuwe na makundi mawili:
1. Wa kuchaguliwa jimboni (mmoja mwanamke mwingine mwanamke)


2.Wa kuteuliwa na rais (walemavu)

3.Hakuna viti maalumu

4.Ukomo wa uraisi awamu tatu

5.Hakuna uchaguzi mdogo. nafasi itajazwa na chama kile kile

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hapo kwenye red tuipinge hii idea kwa nguvu zote, nani ataingia gharama kuwalipa lundo lote la wabunge hawa comedy show? idadi ya wabunge wa sasa inatosha sana.
 
Tume ya uchaguzi wanaotaka lazima wapeleke maombi na yatachujwa na kamati ya uteuzi ya Tume na mwenyekiti wa kamati ni Jaji mkuu na wajumbe maspika, majaji wakuu na mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na watapendekeza kwa rais wajumbe wasiozidi sita , na bunge litawathibitisha ,

viongozi wa kisiasa hawatakuwa na sifa za kuwa wajumbe wa tume ya uchaguzi
 
madaraka ya rais wapo waliosema yapunguzwe wengine yabaki

tume inapendekeza madaraka yake ya uteuzi wa viongozi wa juu yabaki kwa rais na uteuzi wa ngazi za chini yaende kwa tume ya utumishi

mawaziri, manaibu, jaji, vyombo vya ulinzi atateua rais na atashauriwa na baraza la usalama la taifa

Hilo baraza la usalama liwe na nguvu na huru ili Rais anapopendekeza jina lipigiwe kura na baraza la usalama.
 
Mapendekezo ya Tume juu ya Tume ya Uchaguzi yamenigusa! Kwa ujumla mpaka sasa wanaonekana kufanya vyema!
 
Wapo waliopendekeza serikali nne, bara, unguja, pemba na muungano
 
Hilo baraza la usalama liwe na nguvu na huru ili Rais anapopendekeza jina lipigiwe kura na baraza la usalama.

Rubbish! Kenye wanafanyaje? Madaraka ya rais kuwa makubwa ndio yamefanya Rais awateue watu (wakuu wa wilaya etc) wasio na sifa! Majaji wa UPE tumewaona na wapo kama alivyowataja Lissu! Rubbish!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Muungano , kuuvunja no , serikali nne no yaani Pemba, unguja, znz na tanzania bara

muungano wa mkataba no,

muungano wa serikali mbili,no

muungano wa serikali tatu, YES
 
Muungano ni serikali tatu (3) mbali ya changamoto zake.....
 
Muungano wa mkataba haiwezekani maana lazima muungano uliopo uvunjwe ili tuwe na serikali mbili huru ziweze kuingia mkataba! Muundo unaopendekezwa ni ule wa serikali tatu!
 
Back
Top Bottom