Socratesson
Senior Member
- Oct 5, 2012
- 119
- 23
Wanaj
yafuatayo ni baadhi ya maoni ya watanzania waliyotegemea kuyaona katika rasimu ya katiba mpya lakini giza;
- kutambuliwa kwa kiswahili kama lugha ya taifa
- mikataba yote kujadiliwa bungeni
ongeza na yako tuone
Kwa nini Tanganyika mnaing'ang'ania zanzibar wakati zanzibar inataka mamlaka yake kamili si uonevu huuu?
Kwa nini Tanganyika mnaing'ang'ania zanzibar wakati zanzibar inataka mamlaka yake kamili si uonevu huuu?
Published on 3 Jun 2013
Awamu ya kwanza ya rasimu ya katiba imezinduliwa jijini Dar es Salaam ambapo imetoa ufafanuzi wa mambo kadhaa wa kadhaa ikiwemo madaraka ya rais, muundo wa muungano huku ikibainisha wazi kuwa kuwepo na mgombea huru wa nafasi ya urais.
Washindwa wa nne ni watanganyika,mpaka sasa hawana identity yao.
Duh! Acha niwahi jimboni kwangu nianze kutafuta perfect match. Mgombea mwenza wa ubunge. It sounds good. Kama kuna vyama 20 wagombea watakuwa 40. Safi.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mkuu nadhani hilo ndilo litakalotokea. Tutegemee kuwapata akina Filikunjombe kibao Bungeni kuanzia sasa. Watu sasa watajitoa kwenye utumwa wa vyama watakuwa watumwa wa wananchi. Tume imeenda mbali zaidi na kuruhusu kuwafuta wabunge kazi kabla ya uchaguzi basi hapa utegemee wabunge kujituma kwa wananchi wao aliowachagua
Wame copy katiba ya kenya
Inaonyesha kana kwamba Maalimu Seif alishaiona au kuelezwa yaliyomo kwenye Rasimu. Hata hivyo ndani ya Afrika Mashariki vibali vya kazi na uhuru wa kutembeleana uko guaranteed kwenye Itifaki ya Soko la PSijaona yale masharti 10 yako ya Maalim uliyokuwa unapigia chapuo jana!
Wakati tutakapokuwa tunaandaa katiba yetu ya Tanganyika (mind you hii rasimu ni ya Muungano na siyo ya Tanganyika au Zanzibar) tutapiga marufuku wapemba kufanya kazi huku bila kibali maalumu!na sie kidogo tuwe wabaguzi kama nyie once upon a time...
Wabunge watakaopingwa twawashauri wagombee uwakilishi kwenye bunge la Tanzania Bara....
Uko wa raisi uwe miaka 8 na Wabunge miaka 12. Cant wait kuona Mkwe re anaondoka tumsahau
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, nimecheka sana, hasa baada ya kuona Mliberali ame LIKE hili andiko lako!Haki za akina Mdee na Mbatia