RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

Wanaj
yafuatayo ni baadhi ya maoni ya watanzania waliyotegemea kuyaona katika rasimu ya katiba mpya lakini giza;
  • kutambuliwa kwa kiswahili kama lugha ya taifa
  • mikataba yote kujadiliwa bungeni

ongeza na yako tuone

Acha ushabiki usio namana,usikurupuke bali soma between the line.TUNU ya Taifa inazungumzia nini.Hapa hatutaki porojo ni pointi zakishule
 
mkuu mahakama ni muhimili unaotakiwa kujitegemea. kwa nini tusiige kwa majirani zetu kenya? majaji wapatikane kwa interview itakayoendeshwa na judicial commission yenye weledi tena kwa uwazi then rais apelekewe majina ya walioonekana wanafaa halafu ateue. then wathibitishwe na bunge. kuna ugumu gani hapo?
 
Kwa nini Tanganyika mnaing'ang'ania zanzibar wakati zanzibar inataka mamlaka yake kamili si uonevu huuu?

Tanganyika ilishakufa mkuu, lakini katiba ndio inataka kuifufua sasa!
 
Nnaunga mkono hoja kwa 100% na hata nakala ya maoni yangu kwa tume ninayo, Kwa nini Tume inampendelea Rais? kwani kuna nini hapo, kiwepo chombo chenye mamlaka kamili kifanye kila kitu na sii kupeleka mapendekezo kwa Rais.

Pia kuna swala la Spika wa Bunge, pendekezo la jinsi ya kumpata liko sahihi ila makosa yanakuja pale wanapopeleka mapendekezo kwa Mtukufu wao anayejua kila kitu kwa jinsi anavyopewa mamlaka na tume, Kama tumewapa mamlaka ya kufanya mchakato, pia waachiwe nafasi ya kufanya maamuzi ya huyu awe spika
 
Acha upuuzi, anakuwa tayari ameletewa qualifying... yeye anakuwa appoint mmoja kati ya watata etc... there is no issue with this guys,,, tujadili vitu vyenye maana.
 
Published on 3 Jun 2013
Published on 3 Jun 2013
Awamu ya kwanza ya rasimu ya katiba imezinduliwa jijini Dar es Salaam ambapo imetoa ufafanuzi wa mambo kadhaa wa kadhaa ikiwemo madaraka ya rais, muundo wa muungano huku ikibainisha wazi kuwa kuwepo na mgombea huru wa nafasi ya urais.
 
Last edited by a moderator:
Washindwa wa nne ni watanganyika,mpaka sasa hawana identity yao.

Sijaona yale masharti 10 yako ya Maalim uliyokuwa unapigia chapuo jana!
Wakati tutakapokuwa tunaandaa katiba yetu ya Tanganyika (mind you hii rasimu ni ya Muungano na siyo ya Tanganyika au Zanzibar) tutapiga marufuku wapemba kufanya kazi huku bila kibali maalumu!na sie kidogo tuwe wabaguzi kama nyie once upon a time...
 
Duh! Acha niwahi jimboni kwangu nianze kutafuta perfect match. Mgombea mwenza wa ubunge. It sounds good. Kama kuna vyama 20 wagombea watakuwa 40. Safi.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kaka hiyo ni katiba ya Muungano! Bado kutakuwa na katiba ya Tanganyika yetu na Bunge letu la Tanganyika huru!kwa hivo tulia,usihofu!
 
Mkuu nadhani hilo ndilo litakalotokea. Tutegemee kuwapata akina Filikunjombe kibao Bungeni kuanzia sasa. Watu sasa watajitoa kwenye utumwa wa vyama watakuwa watumwa wa wananchi. Tume imeenda mbali zaidi na kuruhusu kuwafuta wabunge kazi kabla ya uchaguzi basi hapa utegemee wabunge kujituma kwa wananchi wao aliowachagua

Mkuu ni utaratibu gani unatumika kumfuta ubunge Mbunge ambaye hatekelezi matarajio ya wapiga kura. Sina hakika kusikia au kuona hili popote pale na utaratibu unaotumika.
 
Mods unganisha hii thred kwenye ile ya rasimu ya katiba mpa, inatumix
 
Rais bado ana majukumu mengi sana lazima tuyakatae kwa nguvu zetu zote amina
 
Kwa jicho la tatu, na uelewa usiotaka shule kubwa, ni Janga kwa Rais kuteua Majaji- hii haikubaliki hata kidogo! Mhimili mmoja kuchakua Mhimili mwingine, haya ndo mambo ambayo waliochaguliwa kwenye mabaraza ya katiba wanatakiwa waanze kuyafanyia kazi kwa mustakabli wa nchi yetu.
 
Sijaona yale masharti 10 yako ya Maalim uliyokuwa unapigia chapuo jana!
Wakati tutakapokuwa tunaandaa katiba yetu ya Tanganyika (mind you hii rasimu ni ya Muungano na siyo ya Tanganyika au Zanzibar) tutapiga marufuku wapemba kufanya kazi huku bila kibali maalumu!na sie kidogo tuwe wabaguzi kama nyie once upon a time...
Inaonyesha kana kwamba Maalimu Seif alishaiona au kuelezwa yaliyomo kwenye Rasimu. Hata hivyo ndani ya Afrika Mashariki vibali vya kazi na uhuru wa kutembeleana uko guaranteed kwenye Itifaki ya Soko la P
 
Yaani wabunge wa serikali ya shirikisho wawe 75 wote hao wa nini? Haraf kuna wat wanadhan et wabunge waliopo watapunguzwa si kweli,inabid uandaliwe utaratib wa kuwashirikisha wabunge wanawake uandaliwe mi hilo la kusema et kuwe na wabunge wawil kila jimbo sikubali,inabid katiba yet ya Tanganyika iseme aina ya wabunge na wapunguzwe!wanakula hela za bure watu kama Ngereja,Nkamia.....wanafanya nin bungeni?
 
Wabunge watakaopingwa twawashauri wagombee uwakilishi kwenye bunge la Tanzania Bara....

Mkuu hapa Tanganyika na sisi si tutahitaji katiba yetu? Sasa hiyo itakuwa lini maana wenzetu zenji tayari wana yao. Nafurahia rebirth of Tanganyika kuliko mengine yote. Nimekuwa na dreams ya kutoka kwenye ukoloni kwa muda mrefu sana.
 
Uko wa raisi uwe miaka 8 na Wabunge miaka 12. Cant wait kuona Mkwe re anaondoka tumsahau

Mkuu sijakuelewa ------ hapa anahusika vipi wakati muda wake unaisha soon hii katiba itakapoanza tumika! I hope CDM will be on power!
 
Mnaongea sana,mbona Rais ameachwa na kinga yake kudadeki hapa bado sijapafahamu ina maana hawezi kushitakiwa kama ametumia madaraka yake vibaya Lol!changa la macho hapo hakuna katiba nzuri tupo mtaniambia.
 
Back
Top Bottom