habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
- Thread starter
-
- #1,081
hivi kwanini mmekaa kibaguzi baguzi nyie??? shame on you!!!!!!!!Ikumbukwe, tume ya Warioba ilikuwa na 50% wazanzibar ambao hawana mamlaka ya kujadili mambo ya Tanganyika.
dhambi ya ubaguzi iakutafuna wewe na wenzio mpaka siku yenu ya mwishoIkumbukwe, tume ya Warioba ilikuwa na 50% wazanzibar ambao hawana mamlaka ya kujadili mambo ya Tanganyika.
dhambi ya ubaguzi iakutafuna wewe na wenzio mpaka siku yenu ya mwisho
Mkuu siyo mimi, sheria ndo iko hivyo. Kama ni dhambi ya ubaguzi basi dhambi hiyo iko kwa waliotunga sheria hiyo na wala siyo mimi. Mimi nimesema facts za kisheria na wala sikuzitunga mimi. Unanionea tu.
Hivyo basi, Mimi najiuliza, je Rasimu hii ikipita na kuwa katiba, ndo sisi watanganyika, tutaanzisha upya mchakato wa kutafuta katiba mpya ya Tanganyika yetu kabla ya 2015?
kwa mtu mwenye hadhi ya mjumbe wa baraza kuu la chadema taifa, hili swali linakudhalilisha. hiyo tanganyika iko rwanda??? iko somalia??? kumbuka tanzania inatokana na tanganyika na zanz
kwa mfano kutakuwa na wagombea wa urais watatu kwa maana ya tanzania zanzibar,tanzania bara na rais wa shirikisho,kwa vyama venye uhaba wa watu wenye uwezo wa kuongoza vitapata wakati mgumu sana najaribu kufikiri kutoka chadema nani atagombea zanzibar,nani atagombea bara,na nani atagombea urais wa shirikisho.hali hii pia yaweza kukikuta chama cha nccr mageuzi na vyama vingine pia vichanga.
hivi sasa, ni matangazo ya moja kwa moja (live) kutoka ukumbi wa mikutano wa karimjee yakirushwa na tbc1. Mgeni rasmi ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania jakaya mrisho kikwete... Katiba mpya kwa tanzania yenye neema
tufuatilie
Its a wastage of resources kuwa na serikali tatu.
If we are seriously into our Union, tuwe na serikali moja.
I see this as a diversion into the facts that need be addressed.
Mambo yote ambayo ni controversial na tyalionekana na wazee wetu hapo mwanzo, (Karume na Nyerere) yamo humu ndani).
I see a clear and crystal intwntion to diversify us from facts such as poverty and natural resources.
Tutaachwa tukijadili haya mambo watu wakifanya yao.
I suggest katika rasimu mpya neno Tanzania Bara be removed and replaced by Tanganyika, Hakuna kitu kama TANZANIA BARA bali kunaTanganyika.
...kaka....chambilecho "maandiko matakatifu", wengi wataitwa wachache watachaguliwa...!muda ukiwadia wote wanaoamini "wanachagulika" watajitoa mbele, wajieleze kwa umma wa sehemu husika...na atakaekuwa kaaminiwa na kukubaliwa na wengi zaidi katika umma huo ndio atakuwa muwakilishi wa eneo hilo bungeni...si masihara hata kidogo! ni hivyo! ...sasa iliyobaki ni kwa wapiga kura wenyewe!!!...labda kwa kusaidiana ningeomba nipewe jibu na wenzangu ktk JF ya GT...rasim pia ina namna ambayo wapiga kura wanaweza mshughulikia (kidemokrasia) mwakilishi wao ambae "wamemgumia" kuwa ni "snake in the monkey shadow"? au itakuwa "adios amigo" mpaka uchaguzi unaofuata (endapo "eloe" atakua amemjalia maisha "zuga" huyo?)Rasimu ya katiba mpya inataka tuwe na majimbo 25 tanzania bara yaani mkoa mmoja jimbo moja. Sasa kama hii itapita maana yake mapepari ndio watakaokuwa wabunge maana kufanya kampeni mkoa mzima si suala jepesi. Binafsi naona demokrasia itabanwa na tutazalisha viongozi mafisadi. Pia jangamoto za bungeni zitapungua
Huwa naogopa sana ku-comment mahala ambapo sijaelewa, ila hapa nimeelewa kwamba hukuelewa
Huna akili hata moja hata ya kumegea tonge la ugali,yaani unataka nchi yetu tuwauzie wazanzibari wenye wimbo wao,bendera yao,katiba yao, serikali yao,wimbo wa taifa wao halafu sisi tusiseme kwa sababu kuna watu wanapata book saba kwa posti za kutibua mijadala ya kitaifahivi kwanini mmekaa kibaguzi baguzi nyie??? shame on you!!!!!!!!
Rasimu ya katiba mpya inataka tuwe na majimbo 25 tanzania bara yaani mkoa mmoja jimbo moja.