mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Yaani wamependekeza serikali 3
Ya shirikisho...
Ya Tanzania bara...
Ya Zanzibar...
Alafu wakajiamulia kutengeneza katiba ya serikali moja (shirikisho) peke yake!!! Sasa hizo mbili wamemuachia nani?!!! Ebo!
Mkuu hujaelewa, hii ni hatua ya kwanza ya kuunda kitu 'mama' then ikishapita ndo sasa katiba za serikali husika zitaundwa. Sasa hivi hicho unachotaka hakiwezi kuwepo kwa sababu this is just a proposal mkuu!