OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Asante mkuu.
ur welcome kamanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu.
Jaji Kisanga alitoa pendekezo hili enzi za mkapa, mheshimiwa akawa mkali,akihisi kama vile tume inawasemea wananchi.Serikali tatu safi maoni yangu huenda yakawaimplemented,
wabunge 20, 50, 5 walemavu sio mbaya. Kiukweli naona mambo yatakuwa safi sana.
Unaona sasa!! umeulizwa swali dogo la mtego umeshindwa kujibu, kama unajuwa Tume ilikuwa na wataalam na maprofesa na wanasheria unadhani wao hawana akili na walichoimplement?Sijui... but nadhani hao 'wataalamu' walitakiwa waje na majibu...
Jk hawezi ongezewa muda kwakuwa yeye ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hapo ataongezewa muda kuwarais wa nchi gani?Kuna hatari naiona hapa! Kama tukikubaliana na katiba hii maana yake itabidi bara tuanze mchakato wa katiba yetu! Hapo ndio naona kale kampango ka JK kuongezewa muda! Maana there is no way tutaingia uchaguzi bila katiba
Kwa nini madaraka ya Raisi yapunguzwe, mimi kama Mtanzania sitaki yapunguzwe na nina haki, hivyo ni sawa tu kwa Upande wangu!
Serikali ya Tanganyika itakuja baada ya kupata katiba ya muungano, inaweza kutokea kati ya haya mawili either Kikwete aongezewe muda au tupate serikali ya mpito itakayoongoza wakati wa kuandaa katiba ya Tanganyika.Sijui... but nadhani hao 'wataalamu' walitakiwa waje na majibu...
mkuu usihofu, haitapita muda mrefu itawekwa na tutaijadli humu JF.bethlehemu warushe draft yote kwennye mtandao watu tuwe mbele kwenye kuchambua. Unaweza kukuta taarfia inachukua wiki nzima kabla ya kuweka kwenye mtandao.Watu wengi hivi sasa hawana access na tv kutokana na ukirittimba wa kisimbusi
Tayari tumeanza na contradiction.Lakini Jaji Warioba kasahau kwamba Demokrasia ina gharama zake na mojawapo ni hii ya uchaguzi.Kwa vile ni mwanzo wa mchakato nadhani Watanzania watakuwa makini kusahihisha makosa kama haya.Atarithiwa na mkewe(Joke) Hii ni moja ya changamoto mkuu
changamoto zipo ila zinaweza kushughulikiwa na sheria mbalimbali
Je kama Mbunge alitoka upande wa Mgombea binafsi ambaye pia nimesikia Rasimu inapendekeza awepo mara baada ya kupitishwa kuwa Katiba ni nini kitafanyika?.
Hapo ni ujinga mtupu. Jimbo kuwa na wabunge wawili kwa maslahi ya nani na kuwakilisha nani? na raisi anakuwa na wabunge kuwakillisha nini?. inamaana tutakuwa na wbunge zaidi ya 700 na gharama za kufuga wadudu hao zitalipwa nani.Wanawake wanaweza na wamekwisha jiwezesha waingie kupambana.Lazima mihimili hii iwe tofauti.kuwepo na wabunge wa aina mbili
wakuchaguliwa na watateuliwa na rais na ni kundi moja tu la walemavu hakuna viti maalumuuuuuuuuuuuuuuu
kila jimbo litoe wabunge wawili, wa kiume na wa kike,
hivi ile tume ya maadili ya viongozi wa umma itakua tofauti na hiki chombo???naamin hiko chombo pia kitaangalia maadili hata juu ya rushwa,sasa TAKOKURU YA HOO-SEA ITAKUFA?MBONA NAONA HAPA TUNACHEZA WIMBO ULEULEjambo jingine ni kuhusu maadili, hili lilizungumzwa sana, maadili ndani ya jamii, ndani ya utawala na ndani ya nchi kwa ujumla
tume inapendeklkeza mambo 3
1. maadili ya viongozi yawe kwenye katiba
2.miiko ya viongozi yawe kwenye katiba
3.kiundwe chombo maalumu cha kusimamia maadili ya taifa
Hapo nafikiri labda hujapaelewa vizuri, mimi nafikiri wana hoja ya maana kwamba, kama Mbunge akifariki basi hakuna haja ya Uchaguzi ili kuokoa gharama, basi mrithi wake atatoka Chama kile kile tu, hivyo ina maana Chama chake watateua tu, badala ya uchaguzi kufanyika, kwa maana nyingine tunapaswa tuchague Sera za Chama na SIO mtu!
naipongeza serikali ya "kiwete", tutamkumbuka "kiwete" mzee wa katiba na uhuru
Mkuu mimi nishaona 2015 hakuna dalili ya uchaguzi...