Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Rasmi kampuni ya Adidas imetangaza kufikia makubaliano ya nje ya mahakama na rapper Ye kwa lengo la kumaliza mizozo yote ya kisheria iliyokuwepo baina yao.
Kiongozi wa Adidas, Bjorn Gulden, alisema kuwa hakuna pesa iliyotumika kusuluhisha mgogoro huo.
Soma pia: Adidas yavunja mkataba na Kanye West baada ya kuonesha chuki dhidi ya Wayahudi
Adidas na Ye walikuwa kwenye nzito kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita, baada ya Adidas kusitisha mkataba
wake kutokana na kauli zake za kibaguzi.
Source: Reuters, BBC