Rasmi, Adidas na Kanye West (Ye) wakubaliana kumaliza mgogoro wa takriban miaka miwili

Rasmi, Adidas na Kanye West (Ye) wakubaliana kumaliza mgogoro wa takriban miaka miwili

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Rasmi kampuni ya Adidas imetangaza kufikia makubaliano ya nje ya mahakama na rapper Ye kwa lengo la kumaliza mizozo yote ya kisheria iliyokuwepo baina yao.

Kiongozi wa Adidas, Bjorn Gulden, alisema kuwa hakuna pesa iliyotumika kusuluhisha mgogoro huo.

Soma pia: Adidas yavunja mkataba na Kanye West baada ya kuonesha chuki dhidi ya Wayahudi

Adidas na Ye walikuwa kwenye nzito kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita, baada ya Adidas kusitisha mkataba
wake kutokana na kauli zake za kibaguzi.


Source: Reuters, BBC
 
Ye ni crazy na sometimes anaweza kuongea mambo yakakukwaza, lakini to be honest huyo jamaa ni mbishi kuliko watu weusi wote kwenye entertainment industry. Hao jamaa wakiku cancel unapotea,lakini Ye bado yupo
 
Kanye west anamwamini YESU KRISTO

Kwani BWANA akiwa upande wetu nani aliye juu yetu warumi 8: 31

Nani ataye tutenga na upendo wa KRISTO? Warumi 8:35

Kanye amekataa kutengwa na upendo wa KRISTO kwa namna yeyote ile
 
Kanye west anamwamini YESU KRISTO

Kwani BWANA akiwa upande wetu nani aliye juu yetu warumi 8: 31

Nani ataye tutenga na upendo wa KRISTO? Warumi 8:35

Kanye amekataa kutengwa na upendo wa KRISTO kwa namna yeyote ile
Ongeza nyama kidogo

Nipe hata ngoma moja ama mbili anazoonyesha kwamba yeye ni mfuasi wa Kristo

Thanks a lot
 
Ndio maana nimeona viatu vyake kwa wingi sokoni hadi nikajiuliza. Na bei zake bado zimesimama. Ila Adidas walikula hasara hawatosahau, nadhani lesson has learned.
 
Ongeza nyama kidogo

Nipe hata ngoma moja ama mbili anazoonyesha kwamba yeye ni mfuasi wa Kristo

Thanks a lot
hizo hapo
Screenshot_20241101-205554_Spotify.jpg
Screenshot_20241101-210208_Spotify.jpg
 
Genius West soon he will be back in billionaires list.

Adidas wamepoteza sana kwa Yale maamuzi ya kimihemko waliyoyafanya.
 
Adidas biashara ngumu sana kwao hasa ya jezi hizi jezi zao saiv mtu mwenye kitambi havai tayari washatukosa ukiangalia kwenye list ya jezi kali utagundua ni za puma zinavalika na watu yupe yote sio mijezi ya adidas ukivaa unaonekana umebinuka
 
Back
Top Bottom