Ongeza nyama kidogoKanye west anamwamini YESU KRISTO
Kwani BWANA akiwa upande wetu nani aliye juu yetu warumi 8: 31
Nani ataye tutenga na upendo wa KRISTO? Warumi 8:35
Kanye amekataa kutengwa na upendo wa KRISTO kwa namna yeyote ile
Ana albam kabisa inaitwa JESUS IS KING. Hizi hazipewagi support na media mnazosikilizaga.Ongeza nyama kidogo
Nipe hata ngoma moja ama mbili anazoonyesha kwamba yeye ni mfuasi wa Kristo
Thanks a lot
hizo hapoOngeza nyama kidogo
Nipe hata ngoma moja ama mbili anazoonyesha kwamba yeye ni mfuasi wa Kristo
Thanks a lot
Ana albam kabisa inaitwa JESUS IS KING. Hizi hazipewagi support na media mnazosikilizaga.
View: https://youtu.be/kM01GJBmgjM?feature=shared
Ahsante wakuu