Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KILA mtu na afya yake.Jana Katu haiwezi kuwa leoMama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Juhudi za kutokuvaa barakoa?Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.
Legacy ! Legacy! Legacy! Legacy!
Legacy ushuzi .legacy ipi [emoji57][emoji15][emoji849]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Bora awe muumini wa sayansi kuliko kuponda sayansi baadae ikakupiga!!!Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Corona ipo hakuna sababu kuishi kwa kujidanganya tena, sasa ni kutumia akili tu.
The Rule of Sukuma Gang [.....No more][emoji2959]Safi sana Mama! legacy wakati wengine walibaguliwa sana nchi hii walionekana kana kwamba siyo Watanzania, ukanda,ukabila na undugu ndiyo ulishamili nchii. Wengine tulikuwa kama siyo watanzania
Halafu akafa kwa korona!Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Mama ni msomi na anatambua umuhimu wa kujikinga ,usisahau kuwa mama ana miaka 61 ,yuko kwenye kundi hatarishi ,Kimsingi mama alichelewa sana kuvaa barakoa.Hata hivyo ,tunampongeza kwa hatau hii.Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Haimanishi kuwa kuvaa Barakoa watu hawatakufa ,kwani malaria si bado watu wanakufa pamoja na tunatumia mosquito net ?Kama huna cha kuchangia bora uache.Barakoa ingekuwa inaokoa India wasingekufa kwa wingi kiasi hicho, ni wavaaji wazuri wa barakoa!! Magufuli alitufanya tumtegemee Mungu kuliko barakoa!! Na Mungu alituponya na kutukinga! Kupanga ni kuchagua, ukichagua kutegemea barakoa zaidi ni uamuzi wako! Magufuli hakuzuia barakoa lakini hakuziamini barakoa za nje, alihimiza barakoa za kujishonea.
Naona Mwanakijiji kagonga "Like" hapo.Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.
Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.
Sawa si ndiyo maana tunasubiri lockdown au huitaki? Subirini kdg mtaelewa tu japo saivi mmepunguza mabandiko ya vifo vya corona but tutaongea lugha moja mda si mrefu, c mlikuwa mnaleta siasa kwenye uhalisia so tulieni raha zinakuja soon.Corona ipo hakuna sababu kuishi kwa kujidanganya tena, sasa ni kutumia akili tu.
Lockdown inakuja usijali mkuu.Wanakwisha huko kwa wenzetu... Maiti za tangu March ziko kwenye mochwari za semi View attachment 1777727
😝 😝 Kosa la maremu hakuvaa barakoaNdio maana yakamfika yani ni ile "kosa la marehemu"
Kwahiyo Watu wasizivae ili Wafariki au?Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.