Rasmi Barakoa

Rasmi Barakoa

202104340340.jpg
 
Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.
Juhudi za kutokuvaa barakoa?
 
Wanakwisha huko kwa wenzetu... Maiti za tangu March ziko kwenye mochwari za semi
IMG-20210508-WA0267.jpg
 
Barakoa ingekuwa inaokoa India wasingekufa kwa wingi kiasi hicho, ni wavaaji wazuri wa barakoa!! Magufuli alitufanya tumtegemee Mungu kuliko barakoa!! Na Mungu alituponya na kutukinga! Kupanga ni kuchagua, ukichagua kutegemea barakoa zaidi ni uamuzi wako! Magufuli hakuzuia barakoa lakini hakuziamini barakoa za nje, alihimiza barakoa za kujishonea.
 
Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Mama ni msomi na anatambua umuhimu wa kujikinga ,usisahau kuwa mama ana miaka 61 ,yuko kwenye kundi hatarishi ,Kimsingi mama alichelewa sana kuvaa barakoa.Hata hivyo ,tunampongeza kwa hatau hii.
 
Barakoa ingekuwa inaokoa India wasingekufa kwa wingi kiasi hicho, ni wavaaji wazuri wa barakoa!! Magufuli alitufanya tumtegemee Mungu kuliko barakoa!! Na Mungu alituponya na kutukinga! Kupanga ni kuchagua, ukichagua kutegemea barakoa zaidi ni uamuzi wako! Magufuli hakuzuia barakoa lakini hakuziamini barakoa za nje, alihimiza barakoa za kujishonea.
Haimanishi kuwa kuvaa Barakoa watu hawatakufa ,kwani malaria si bado watu wanakufa pamoja na tunatumia mosquito net ?Kama huna cha kuchangia bora uache.
 
Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.
Naona Mwanakijiji kagonga "Like" hapo.

Aisee, Uchawi upo.
 
Juhudi😂😂enzi za propaganda zimepita bro
Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.
 
Corona ipo hakuna sababu kuishi kwa kujidanganya tena, sasa ni kutumia akili tu.
Sawa si ndiyo maana tunasubiri lockdown au huitaki? Subirini kdg mtaelewa tu japo saivi mmepunguza mabandiko ya vifo vya corona but tutaongea lugha moja mda si mrefu, c mlikuwa mnaleta siasa kwenye uhalisia so tulieni raha zinakuja soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom