Rasmi, Bunge la South Korea lapiga kura kumuondoa Rais Yoon Suk Yeol madarakani baada ya kutangaza utawala wa kijeshi

Tunaweza kulikodi bunge la Korea Kusini lije kuinyoosha Serikali alau kwa miaka miwili?
 
Ili Tanganyika tuwe huru tunahitaji kupigania uhuru wetu toka CCM/WATAWALA. Wafe wawe hai lazima waondoke.
 
Same constitution as KOREA
 
Bunge gani kila mbunge akisimama kutoa hoja yake anamsifia kwanza rais. Bunge lazima liwakilishe na watu wanaomponda rais.
Hiyo nchi inakoelekea ni shimoni kabsaa, ukiangalia hakuna anayeshinda uchaguzi kwa juhudi zake bali ni kwa mkono wa dola sasa unatoa wapi nguvu za kuikosoa hiyo dola baada ya kuingia bungeni.
 
korea hawajaanza leo huu ujinga wao!
wana demokrasia kichaa wale watu, raia wao ni very aggressive tofauti na wa-asia wengine,
.
wakorea wakiamua kuandamana basi inakua vurugu, wanaandamana hata pasipo sababu za msingi na nzito, yani wao wanaweza angusha serikali kwa visababu vya kijinga!

hii inakua impeachment ya tatu, 2004, 2016 na sasa 2024,,

korea wana tatizo kubwa sana, hasa raia wao
 
so be it to tz
 
Yah Wana changamoto zilizotengenezwa na miaka ya inequality. Wasipozitatua watajua na uchumi mvuri lakini bila mwelekeo Bora kiuchumi.
Sipendi udikteta wa Afrika ila mruhusu mtu atawale kama alishinda kihalali. Amepigiww kura halali.
 
Bunge la watu wenye akili na siyo bunge kibogoyo la tulia ambalo chochote kinachopitishwa hata kamacha kijinga linaunga mkono
 
Kukiwa na hali ya dharura nchini unajuaje? Nchi nyingi za Africa viongozi hawatangazi. Ila utajua kwa kuona majeshi yametanda mitaani yakiwa na muonekano wa kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…