Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Kwa kushindwa kulaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba, CCM kimekuwa chama cha serikali.
Makosa ya erikali yana baraka za CCM.
Watu kuuawa mithili ya nzi tarehe 29 Oktoba, CCM iko kimya
Nani atakiamini tena chama hiki ambacho sasa kinakosa uungwaji wa wananchi wengi hasa baada ya vurugu za siku hiyo.
CCM ikifa leo nani ataomboleza?
CCM kimekuwa gulio la uongozi na kimekosa muelekeo kwa muda mrefu sasa.
NYONGEZA
Mzee Warioba kamfunga paka kengele(copied from JF Member Wafukweni)