Rasmi CCM ni chama cha serikali. Hakijali matakwa wala matamanio ya wananchi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Kwa kushindwa kulaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba, CCM kimekuwa chama cha serikali.
Makosa ya erikali yana baraka za CCM.
Watu kuuawa mithili ya nzi tarehe 29 Oktoba, CCM iko kimya
Nani atakiamini tena chama hiki ambacho sasa kinakosa uungwaji wa wananchi wengi hasa baada ya vurugu za siku hiyo.
CCM ikifa leo nani ataomboleza?
CCM kimekuwa gulio la uongozi na kimekosa muelekeo kwa muda mrefu sasa.

NYONGEZA
Mzee Warioba kamfunga paka kengele(copied from JF Member Wafukweni)
 
Hiki chama ni janga la hii nchi. Mfumo kilichojijengea tangu enzi ya chama kimoja ndo kansa ya hili taifa, CCM haijawahi kujitenga na dola tangu kuanzishwa kwake.
 
Mauaji tuliyo yaona, utekaji, watu wanajilimbikizia mali bila kificho, uwajibikaji hakuna.
Hivi unaongelea CCM ipi na ya wananchi wepi?
CCM hii hii isiyotegemea bunge la ulaya, CCM hiihii inayotuhakkshia amani.
CCM ni chama cha kizalendo
 
Panyaroad mtakufa sana mkae mkijua
Wewe hofu yako nini wakati bunduki unazo?
Waache walio tayari kufa kwa ajili ya nchi yao wafe.
Wewe subiri uingie tena mtaani na bunduki yako uwauwe ufurahi.
Wakiisha wote sijui utamtawala nani. Kazi atakufanyia nani kwenye hiyo migodi na bandari?
 
CCM hii hii isiyotegemea bunge la ulaya, CCM hiihii inayotuhakkshia amani.
CCM ni chama cha kizalendo
Ulaya inaingiaje hapa na maddudu ya kuua wananchi.
Ukilipwa vipesa vya kutetea uovu, usijiondoe akili ya kuzaliwa.
 
Fanyeni tena vurugu muone ..Leo mnatia huruma kabla ya hapo eti tutakinukisha mkatulizwa kama mpira wa kona.
 
Wewe hofu yako nini wakati bunduki unazo?
Waache walio tayari kufa kwa ajili ya nchi yao wafe.
Wewe subiri uingie tena mtaani na bunduki yako uwauwe ufurahi.
Wakiisha wote sijui utamtawala nani. Kazi atakufanyia nani kwenye hiyo migodi na bandari?
Wanajenga hospitali leo wakati wamewaua wagonjwa wa kesho.
Kule Uyole nilimuana Kiongozi mmoja akitoa misaada kwa wasiojiweza eti kuwaonyesha kuwa anawajali. Wakati anafahamu fika kuwa wamewaua huko mjini vijana waliokuwa nguzo kuu kwa wazee wale. Kwanini hakuwahi kutoa misaada ile kabla ya mauaji yale??
 
Chama ni S100, ukifanya Nywinywi nywi....watekwa.
Hiyo sera rasmi ya CCM.
 
CCM ndiye mlezi mkuu wa Taifa letu tutailinda CCM usku na mchana
Genge la wahuni lipo kwa ajili ya kuwalinda wahuni na wahalifu. Wananchi kwa sasa wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu, na siyo kwa kuwategemea nyinyi majambazi na matapeli.
 
Genge la wahuni lipo kwa ajili ya kuwalinda wahuni na wahalifu. Wananchi kwa sasa wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu, na siyo kwa kuwategemea nyinyi majambazi na matapeli.
CCM imekosa sifa ha kuwa chama cha siasa kutetea wananchi wa Tanzania.
CCM kwa sasa ni kama idara za serikali kama Polisi, Magereza, JKT au Mgambo na Uhamiaji.
 
Gentleman,
Serikali sikivu ya CCM iko mamlakani kwa ridhaa ya wananchi na kwa mujibu wa katiba ya Tanzania.

Wajibu wa serikali sikivu ya CCM ni kulinda amani, kuwatumiakia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo.

hizo porojo zingine nonsense hazina maana yoyote ile
 
CCM ina ridhaa ya wananchi 98% wakati waliouwawa ni 97% …?
Mkuu omna ongezeko lako la mshahara tu huko idarani kwenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…