Ngoja tuoneWCB wametangaza kuwa, Diamond Platnumz, ametangaza rasmi kuwa amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka huu.
Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance.
View attachment 3121644
atapata tu mkuuUnadhani atashinda hii mkuu?
Itamchafua kivipi?Itamchafua hiyo tuzo bora akose hiyo tuzo
P Didy bado ana ushawahi kwenye hizo tuzo za grammy ?🤣🤣🤣
Hauwezi kuwa serious kama sio haufahamu muziki.Sadly hatopata ata kama anadeserve