Rasmi Django 5.0 ipo released

Rasmi Django 5.0 ipo released

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
697
Reaction score
1,474
Screenshot_20231204_181937_Samsung Internet.jpg


Wale wote tunaofanya backend kwa python hii ni baada ya mda saaaana kupita ni rasmi django 5 ipo live kwa ajili yetu

Django5.0 nilikua naisubiri kwa mda mrefu ili kufanya baadhi ya project zangu


Moja ya features ambazo nipo excited kuzitumia ni

1. db_default

Hapo kabla kwenye database models tulukua tunatumia default
Eg. Base=models.FloatField(default=0).

Django ilikua haiweke default value kwenye database directly lkn sasa kunaweza ku specify db_default direct baada ya ku apply migrate

2. GeneratedField

Aise nadhani django 5 kati ya maboresho bora sana ni hii fild mpya.

Maelezo zaidi hapa

Kama ni web/api developer anza sasa na django 5
 
Wale wa Laravel tucomment wapi!!
Kimya Kimya tunapita
PHP wote m-comment hapa:

kiongozi wenu ni bwana @Stefano Mtangoo japo siku huzi haonekani jukwaani hapa
 
Back
Top Bottom