Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Wale wote tunaofanya backend kwa python hii ni baada ya mda saaaana kupita ni rasmi django 5 ipo live kwa ajili yetu
Django5.0 nilikua naisubiri kwa mda mrefu ili kufanya baadhi ya project zangu
Moja ya features ambazo nipo excited kuzitumia ni
1. db_default
Hapo kabla kwenye database models tulukua tunatumia default
Eg. Base=models.FloatField(default=0).
Django ilikua haiweke default value kwenye database directly lkn sasa kunaweza ku specify db_default direct baada ya ku apply migrate
2. GeneratedField
Aise nadhani django 5 kati ya maboresho bora sana ni hii fild mpya.
Maelezo zaidi hapa
Database generated columnsâ½Â¹â¾: Django & SQLite
An introduction to database generated columns, using SQLite and the new GeneratedField added in Django 5.0.
Kama ni web/api developer anza sasa na django 5