Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona huyo Frank Domayo mwenyewe aliachwa na Azam tangu msimu uliopita! Huyo ni free agent kama ulikuwa hujui.Huu uhamisho unadhihirisha kuwa Azam fc wanapunguza QUANTITY na kuongeza QUALITY.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YAJAYO YANAFURAHISHA,
SIJAMTAJA MTU.
Domayo uzuri wote aliuacha Yanga, kule kaziyake ilikua kupiga watu mitama. Kama ilivyokua Kwa Kavumbagu, Ngasa, Ngoma, Chilwa n.kDomayo alikuwa mzuri sana
Enzi hizo yupo na Msuva wakawa wanajiita pacha aisee ila sijui kama mpaka wanaendelea kujiita hivyo au ndo maji na mafuta yamejitengaDomayo alikuaga moto sana miaka ya 2012-2015