RASMI: Frank Domayo Chumvi ni mali ya Namungo kutoka Azam

RASMI: Frank Domayo Chumvi ni mali ya Namungo kutoka Azam

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Huu uhamisho unadhihirisha kuwa Azam fc wanapunguza QUANTITY na kuongeza QUALITY.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

YAJAYO YANAFURAHISHA,
SIJAMTAJA MTU.
 
Domayo alikuaga moto sana miaka ya 2012-2015
 
Kila la heri kwkee uko namungo ndio maisha ya mpira yalivyoo,navuta picha mkude cku anaondoka cmba ataendaa wapii...
 
Huu uhamisho unadhihirisha kuwa Azam fc wanapunguza QUANTITY na kuongeza QUALITY.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

YAJAYO YANAFURAHISHA,
SIJAMTAJA MTU.
Sasa mbona huyo Frank Domayo mwenyewe aliachwa na Azam tangu msimu uliopita! Huyo ni free agent kama ulikuwa hujui.
 
Baada ya misimu 2 yule mzenji naye atakuwa anajiunga na Ihefu! Mwache ajifanye mjuaji!
 
Domayo tatizo majeruhi yalichangia sana kupunguza kiwango chake, Azam walimpigania sana, ila ndio kila mwanzo una mwisho wake.

All the best kwake, najua tayari maisha anayo.
 
Back
Top Bottom