Washabiki wengi wanaopenda mpira wa Simba na Yanga kichwani ni tabularasa
hongereni malapa fcHabari mbaya sana kwa mbumbumbu fc,
Yanga daima mbelee
GSM oyeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unanifanya nioneka chiz hapa...nacheka peke yanguMpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Nakazia.Washabiki wengi wanaopenda mpira wa Simba na Yanga kichwani ni tabularasa
Hapana GSM ni kit supplier...alianza kutengeneza jersey na juzi kaingia mkataba mwingine wa kutengeneza vitu tofauti vyenye nembo ya Yanga..Naomba kuuliza GSM ni nani hapo yanga?
Je ni kama Mo pale simba?
Kit supplier na kusajili wachezaji?Hapana GSM ni kit supplier...alianza kutengeneza jersey na juzi kaingia mkataba mwingine wa kutengeneza vitu tofauti vyenye nembo ya Yanga..