Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Tutaelewana tu! Alisikika shabiki nguli wa Yanga baada ya kusikia GSM wamerudi tena Jangwani baada ya kutokea sintofahamu wiki kadhaa zilizopita.
GSM wametangaza kurudi kwa kishindo na moja ya mkakati wao wa kwanza ni kusimamia mchakato wa kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa klabu mapema mwezi Mei.
Pili ni kuhakikisha wanasajiri wacheza wazuri wenye uwezo wa kuipa timu ubingwa msimu ujao. Je ndo tuseme Makambo anarudi?
Kwako Mwl. Kashasha.
Sent using Jamii Forums mobile app