Rasmi GSM wamerudi Yanga kwa kishindo

Rasmi GSM wamerudi Yanga kwa kishindo

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Tutaelewana tu! Alisikika shabiki nguli wa Yanga baada ya kusikia GSM wamerudi tena Jangwani baada ya kutokea sintofahamu wiki kadhaa zilizopita.

GSM wametangaza kurudi kwa kishindo na moja ya mkakati wao wa kwanza ni kusimamia mchakato wa kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa klabu mapema mwezi Mei.

Pili ni kuhakikisha wanasajiri wacheza wazuri wenye uwezo wa kuipa timu ubingwa msimu ujao. Je ndo tuseme Makambo anarudi?

Kwako Mwl. Kashasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
We jamaa unanifanya nioneka chiz hapa...nacheka peke yangu
 
Naomba kuuliza GSM ni nani hapo yanga?
Je ni kama Mo pale simba?
Hapana GSM ni kit supplier...alianza kutengeneza jersey na juzi kaingia mkataba mwingine wa kutengeneza vitu tofauti vyenye nembo ya Yanga..
 
Back
Top Bottom