HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Leo ndio mnaona ananyonywa mbona wakati ndio anajiunga hamkusema ananyonywa? Binadam nyie ni nyokaMwacheni aendeleze mziki wake. Kishakua. Kachoka kunyonywa na kina babu Tale.
We ni shabiki mandaziR.i.p in advance
Kwanini mkuuHii ni Official au ni nyie tu mmeamua kusema hili jambo.. Think
Wengi wamekua wakishadadia juu ya kuondoka kwake WCB labda ndio kiki ameamua atoke nayo kwenye wimbo wake anaotaka kuachia.
BTW Don't kwanini niliposoma heading ya huu uzi roho imeniripuka no.!
Ile ameweka kuwa appreciative, lakini hayupo tena. Unaeza ona hata show ya Dodoma alipost kutoa support lakini hakuwepo kwenye list. Na show hayupo.Mbona hapo imeandikwa wcb4life mtoa mada naona unautindio wa akili
Watu wanakurupuka kuanzisha threads utasema kuna tuzo!Mbona hapo imeandikwa wcb4life mtoa mada naona unautindio wa akili
Shabiki bab* akooo..We ni shabiki mandazi
Pia ndo haohao waliofanya ukamjua Harmo ni naniMwacheni aendeleze mziki wake. Kishakua. Kachoka kunyonywa na kina babu Tale.
Hata wao wamefaidika nae,hawezi zeekea wbc jamani.Pia ndo haohao waliofanya ukamjua Harmo ni nani
Mtoa post hujui kiinglish.....Kuna maneno WCB4LIFEStar namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz.
Hii ni baada ya kubadirisha bio yake ya Instagram. Hapo awali ilikua ikimuonyesha Harmonize kuwa yupo chini ya lebel hiyo kwa utambulisho wa maneno haya SIGNED UNDER WCB
Ambapo hivi sasa ametoa maneno hayo. Hivyo hii inaonyesha kabisa Mwanamuziki huyo ametemana na lebel hiyo.
PichaView attachment 1174527
Mzee baba wewe ndo unataka aondoke au yeye aondoke mbona ili alishazungumza kwamba ikiwa show zinaingiliana na show za nje kwenye wasafi festival anakuwa hayupo ndo taratibu walijiwekea wasafi ndo maana mboso na rayvanny hawakuwepo wasafi festival iliyofanyika Tabora.Ile ameweka kuwa appreciative, lakini hayupo tena. Unaeza ona hata show ya Dodoma alipost kutoa support lakini hakuwepo kwenye list. Na show hayupo.