RASMI Harmonize aachana na WCB

RASMI Harmonize aachana na WCB

Hii ni Official au ni nyie tu mmeamua kusema hili jambo.. Think
Wengi wamekua wakishadadia juu ya kuondoka kwake WCB labda ndio kiki ameamua atoke nayo kwenye wimbo wake anaotaka kuachia.

BTW Don't kwanini niliposoma heading ya huu uzi roho imeniripuka no.!
Kwanini mkuu
 
Mbona hapo imeandikwa wcb4life mtoa mada naona unautindio wa akili
Ile ameweka kuwa appreciative, lakini hayupo tena. Unaeza ona hata show ya Dodoma alipost kutoa support lakini hakuwepo kwenye list. Na show hayupo.
 
Mbona kwenye bio bado ipo WCB4Life. Au shida ni kuondoa signed... hata akiwa wapi bado ni chapa ya WCB
 
Star namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz.

Hii ni baada ya kubadirisha bio yake ya Instagram. Hapo awali ilikua ikimuonyesha Harmonize kuwa yupo chini ya lebel hiyo kwa utambulisho wa maneno haya SIGNED UNDER WCB

Ambapo hivi sasa ametoa maneno hayo. Hivyo hii inaonyesha kabisa Mwanamuziki huyo ametemana na lebel hiyo.

PichaView attachment 1174527
Mtoa post hujui kiinglish.....Kuna maneno WCB4LIFE
 
Ile ameweka kuwa appreciative, lakini hayupo tena. Unaeza ona hata show ya Dodoma alipost kutoa support lakini hakuwepo kwenye list. Na show hayupo.
Mzee baba wewe ndo unataka aondoke au yeye aondoke mbona ili alishazungumza kwamba ikiwa show zinaingiliana na show za nje kwenye wasafi festival anakuwa hayupo ndo taratibu walijiwekea wasafi ndo maana mboso na rayvanny hawakuwepo wasafi festival iliyofanyika Tabora.
 
Mbona naona #WCB4Life ama yenyewe inamaanisha nini!?
 
Back
Top Bottom