RASMI Harmonize aachana na WCB

Harmonize anajifanya na yeye anauwezo wa kumbrand msanii yoyote na akashine hahahahahahahahah Q chief huyu hapa ametoa nae vingoma karibia 5 vyote ni 0 kama anajiamini amekuwa Brand ana Fans base ya kutosha amrudishe Chillah kwenye tuone
In short, alikuwa bado kwa mtazamo wangu, kama hakuna tatizo hakuna sababu ya kutoka wcb. Wabongo hatuna upendo tunajigawa- Alisikika Fid Q.
 
Msimponze Harmo jamani...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nawaambia yatamkuta ya Rich mavoko yani mziki wa bongo sio tu Kuimba mzee babaaa.. kuna Mambo mazito sana nyuma yake akitoka WCB hakika atasandaa game tuu
AKILI zako bila aibu unamfananisha harmonize na rich?
 
Harmonize anajifanya na yeye anauwezo wa kumbrand msanii yoyote na akashine hahahahahahahahah Q chief huyu hapa ametoa nae vingoma karibia 5 vyote ni 0 kama anajiamini amekuwa Brand ana Fans base ya kutosha amrudishe Chillah kwenye tuone
kumrudisha teja ni issue
 
Now kamfollow ALIKIBA, ni mwanzo wa music usiokuwa na bifu
 
AKILI zako bila aibu unamfananisha harmonize na rich?
Nakwambia Harmo akitoka wasafi ATASANDAAAAA TUUU...ATASHUKAA TUU... ATAKUFA KIMZIKI... TUTAMSAHAUUUU...

ukweli mchungu huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Now kamfollow ALIKIBA, ni mwanzo wa music usiokuwa na bifuView attachment 1177280
Yani akitaka kutoka WCB kwa kujiunga na Kiba bhasi arafeli pakubwa Mnoo... Ngoja niweje list ya wasanii wakubwa ambao waligombana na WCB wakaishia kufail vibaya

Ommy Dimpoz
Shetta
Rich Mavoko
Alikiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
 
Nachokiona mim hapa
Nj uyo bwana mdogo anataka kupitia uchaguzi wa 2020
Labda katajiwa dau kubwa fasta fasta kwa hesabu zake anaona ni pesa ndefu
Akiupeleka mkataba mezan wcb atapokea kidogo
Pia anawaza kutumia jukwaa la ccm kuwashawish wananchi wamuelewe

Kama ni ivi
Au ni miongon mwa sababu
Akawaulize kina marlow
Mashabiku wengi wa mzik huu nj vijana
Na sasa media houses hazina nguvu kama social media
Na ndo zinaupromote huu mzik
Na mostly wa wamiliki wa hizi smart phone wapo agaist ccm.
Akitumia mwamvuli wa ccm kuja kivyake kimziki atafeli pakubwa
Harakat zake na mkuu wa nch tunaziona yupo race sana
 
Wabongo kwa Umbea hawajambo mtu anaandika utafikiri ni kweli,kwann mnataka Harmonize aondoke WCB.Harmonize hawezi kuondoka WCB leo wala kesho acheni stori za vijiweni.
Kwanini asiweze kuondoka?! Binafsi sioni ubaya wowote akiondoka kwa maamuzi yake lakini atakuwa mjinga endapo ataondoka kwa kujazwa na watu! Na atakuwa mjinga zaidi endapo ataondoka kwa kusikiliza mashabiki wanavyomjaza, mashabiki ambao hawajui lolote kuhusu tasnia ya muziki.
 
Daah wabongo nyoko kwa hiyo ulikuwa umescreenshot bio ya harmo unasubiria siku atakayobadili ulinganishe? Haya hivyo mbona bado kaandika #WCB4LIFE au mimi ndio nimeona vibaya
OH, my Angel! Anyway ipo hivi. Kwanza sisemi kwamba Harmonize kaondoka lakini vilevile SIGNED BY WCB na WCB 4 LIFE ni vitu viwili tofauti. Hata wewe unaweza kuandika WCB 4 LIFE lakini haimaanishi upo signed na WCB! Unaposema WCB 4 LIFE unamaanisha, ije mvua, lije jua bado utabaki SHABIKI wa WCB! Kwa maana nyingine, hata tuki-assume ameondoka, kwahiyo signature nyingine anamaanisha pamoja na kuondoka kwake, yeye bado ataendelea kuwa mfuasi/shabiki/mwanafamilia ya WCB!

All in all, kufuta maneno SIGNED BY WCB kuna maana kubwa sana! Ni sawa na wewe uwe unatambulika kama Khantwe myplusbee lakini mara surname ya mumeo myplusbee unaindoa!!

So, unless awe anacheza na mind za watu or else something is WRONG!!
 
Sawa mpenzi, lakini najiuliza hiyo before and after aliipataje?
 
umenena
 
hakuna kuachana kwa wema n harmonize is the copy of diamond kwa kila kitu kuanzia kuimba,muonekano Hadi lifestyle
 
hakuna kuachana kwa wema n harmonize is the copy of diamond kwa kila kitu kuanzia kuimba,muonekano Hadi lifestyle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…