OH, my Angel! Anyway ipo hivi. Kwanza sisemi kwamba Harmonize kaondoka lakini vilevile SIGNED BY WCB na WCB 4 LIFE ni vitu viwili tofauti. Hata wewe unaweza kuandika WCB 4 LIFE lakini haimaanishi upo signed na WCB! Unaposema WCB 4 LIFE unamaanisha, ije mvua, lije jua bado utabaki SHABIKI wa WCB! Kwa maana nyingine, hata tuki-assume ameondoka, kwahiyo signature nyingine anamaanisha pamoja na kuondoka kwake, yeye bado ataendelea kuwa mfuasi/shabiki/mwanafamilia ya WCB!
All in all, kufuta maneno SIGNED BY WCB kuna maana kubwa sana! Ni sawa na wewe uwe unatambulika kama
Khantwe myplusbee lakini mara surname ya mumeo myplusbee unaindoa!!
So, unless awe anacheza na mind za watu or else something is WRONG!!