Hata wewe unaweza Kuandika WCB4life kijana ila kamwe huwezi kuandika SIGNED UNDER WCB... so anaweza toka wcb lakini still akawa Fun wa WCB...!! Ila hawezi toka wcb alafu still kwenye bio yake akaandika signed under wcb.. Imeishaaa hiyoo[emoji23][emoji2089][emoji2089]Na kuna watu wamechangia hii mada bila kujishughulisha kuangalia hizo Picha, yaani hawajaona hapo
umesimamia wapi...? Aondoke or abakibora sh 100 ya kila siku kuliko 10,000 ya mara 1 kwa mwaka...Harmonize achana na hizo ten ten zitakuponza ni bora uchutame upate vi sh 100 vyako daily in all ur life..Maisha ndio haya Haya hivi umetoka huko WCB diamond akasema Nyimbo zako zizimwe off WASAFI FM aseee sijui utaskilizwa wapi?
Muigeni diamond mwenzenu kabla hajamwamwaga mboga huwa anakua tyr ameshajua huu ugali ntaulaje...We shauri lako fatisha maneno udanganywe umekua unanyonywa aseeeeeeeeeee ukitaka kujua Diamond ndio baba ako kwenye MUZIKI jitenge nae then utaiskilizia...
mmmmh kunyanyaswa na kunyonywa...? Wabongo ...!Sio kunyonywa tu Na kunyanyaswa pia
huyo demu wake anautajiri gan/aanafanya biashara gan...?Kumfananisha Aslay,Mavoco na Harmonize ni makosa..Konde ana mizizi mirefu plus demu wa kitajiri
huyo demu wake anautajiri gan/aanafanya biashara gan...?Kumfananisha Aslay,Mavoco na Harmonize ni makosa..Konde ana mizizi mirefu plus demu wa kitajiri
kunyonywa...?Mwacheni aendeleze mziki wake. Kishakua. Kachoka kunyonywa na kina babu Tale.
Kama kagombana nao akaamua kusepa hawezi kuweka neno WCB mjombaHata wewe unaweza Kuandika WCB4life kijana ila kamwe huwezi kuandika SIGNED UNDER WCB... so anaweza toka wcb lakini still akawa Fun wa WCB...!! Ila hawezi toka wcb alafu still kwenye bio yake akaandika signed under wcb.. Imeishaaa hiyoo[emoji23][emoji2089][emoji2089]
Abaki" maana sioni kinachomuondoa zaidi ya maneno ya pembeni,ingekua anaonewa au anaminywa sidhani kama angefika pale alipo..sioni point ya wanaosema Anaminywa..sioniumesimamia wapi...? Aondoke or abaki
Haya nadhani umeamini sasa...!!Kama kagombana nao akaamua kusepa hawezi kuweka neno WCB mjomba
Yetu machoHaya nadhani umeamini sasa...!!
Sawa tu kwani yy mwenyewe anaweza jisimamia,cha msingi ajipange yy kama yy na ikiwezekana awabebe wasanii wengine wachanga kama yy alivyobebwa na Diamond.
Wasafi nao wasimwekee kinyongo kama airtime kwenye radio na tv aendelee kupewa kama zamani tusiwekeane vinyongo,kiroho safi.