RASMI Harmonize aachana na WCB

RASMI Harmonize aachana na WCB

Na kuna watu wamechangia hii mada bila kujishughulisha kuangalia hizo Picha, yaani hawajaona hapo
Hata wewe unaweza Kuandika WCB4life kijana ila kamwe huwezi kuandika SIGNED UNDER WCB... so anaweza toka wcb lakini still akawa Fun wa WCB...!! Ila hawezi toka wcb alafu still kwenye bio yake akaandika signed under wcb.. Imeishaaa hiyoo[emoji23][emoji2089][emoji2089]
 
bora sh 100 ya kila siku kuliko 10,000 ya mara 1 kwa mwaka...Harmonize achana na hizo ten ten zitakuponza ni bora uchutame upate vi sh 100 vyako daily in all ur life..Maisha ndio haya Haya hivi umetoka huko WCB diamond akasema Nyimbo zako zizimwe off WASAFI FM aseee sijui utaskilizwa wapi?
Muigeni diamond mwenzenu kabla hajamwamwaga mboga huwa anakua tyr ameshajua huu ugali ntaulaje...We shauri lako fatisha maneno udanganywe umekua unanyonywa aseeeeeeeeeee ukitaka kujua Diamond ndio baba ako kwenye MUZIKI jitenge nae then utaiskilizia...
umesimamia wapi...? Aondoke or abaki
 
Sio kunyonywa tu Na kunyanyaswa pia
mmmmh kunyanyaswa na kunyonywa...? Wabongo ...!
Umejuaje hayo mwanangu ashawahi lalamika kwa hilo...?
vp utajili alionao unaosadikika kumkaribia diamond...?
vp kuhusu collaboration za kimataifa anazofanya na wasanii tofauti na wasanii wa huko nje ruhusa anaitoa wapi...?
huo unyonyaji umekaajekaaje..?
 
Mwacheni aendeleze mziki wake. Kishakua. Kachoka kunyonywa na kina babu Tale.
kunyonywa...?
kwan ashawahi kulalamika kuwa ananyonywa...?
vp utajiri alionao mpaka kunakipindi mkawa mnamfananisha na bosi wake diamond...?
inamaana huo utajiri aliupata nje na mziki...?
je anafanya biashara gani nje na mziki kwa kwa mafanikio aliyonayo ikiwa ananyonywa na timu yake ya WCB..?










Kama hutojari naomba majibu tafadhari..
 
Hata wewe unaweza Kuandika WCB4life kijana ila kamwe huwezi kuandika SIGNED UNDER WCB... so anaweza toka wcb lakini still akawa Fun wa WCB...!! Ila hawezi toka wcb alafu still kwenye bio yake akaandika signed under wcb.. Imeishaaa hiyoo[emoji23][emoji2089][emoji2089]
Kama kagombana nao akaamua kusepa hawezi kuweka neno WCB mjomba
 
Sio rahisi kibiashara labda agharamie. " Hasiye upande wetu Ni adui yetu'
Sawa tu kwani yy mwenyewe anaweza jisimamia,cha msingi ajipange yy kama yy na ikiwezekana awabebe wasanii wengine wachanga kama yy alivyobebwa na Diamond.

Wasafi nao wasimwekee kinyongo kama airtime kwenye radio na tv aendelee kupewa kama zamani tusiwekeane vinyongo,kiroho safi.
 
Back
Top Bottom