bora sh 100 ya kila siku kuliko 10,000 ya mara 1 kwa mwaka...Harmonize achana na hizo ten ten zitakuponza ni bora uchutame upate vi sh 100 vyako daily in all ur life..Maisha ndio haya Haya hivi umetoka huko WCB diamond akasema Nyimbo zako zizimwe off WASAFI FM aseee sijui utaskilizwa wapi?
Muigeni diamond mwenzenu kabla hajamwamwaga mboga huwa anakua tyr ameshajua huu ugali ntaulaje...We shauri lako fatisha maneno udanganywe umekua unanyonywa aseeeeeeeeeee ukitaka kujua Diamond ndio baba ako kwenye MUZIKI jitenge nae then utaiskilizia...