Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Unataka ona nini?Zam Yako Sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka ona nini?Zam Yako Sasa hivi
Selfika tukuone...Unataka ona nini?
Mimi keshoSelfika tukuone...
Kwanini Sasa na wwMimi kesho
Sasaivi nipo vibaya sina bandoKwanini Sasa na ww
Hope ajatokea humu bye-bye shemelaNimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.
N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Kheee unatumia nn Sasa...?Sasaivi nipo vibaya sina bando
VpnKheee unatumia nn Sasa...?
Unazingua 🤣🤗
Utaki?Unazingua 🤣🤗
Si umesema kesho...haya..Utaki?
SawaSi umesema kesho...haya..
Kesho itafika tu..unafkiri ni mbali..
Kesho Ulosema ndo Leo...Mimi kesho
Bado vpn haijakaa vzrKesho Ulosema ndo Leo...
😏🚮🚮Bado vpn haijakaa vzr
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃Ndoa inaendeleaje?
Mume tu unatuaga JF,Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.
N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Jishikilie.Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.