Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

769497f9703ed8cbce685f12a5b474b7.jpg
 
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa .

Na kama hamtaniona hapa jf nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema .
N:B maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na jf ataona wivu. 😒😒

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Bado tunakupenda, hivyo ndoa ikivunjika usisite kurud tena jf
 
Karibu kwenye ndoa sehemu ambayo unatakiwa kuomba ruhusa na kuaga bila kusahau kukabidhi uhuru wako wote kwa mumeo ili uishi kwa amani
 
Back
Top Bottom