barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Namuonea ajib huruma, ana ndoto fupi kiasi hiki! Anaenda sideways badala ya forwards!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuonea ajib huruma, ana ndoto fupi kiasi hiki! Anaenda sideways badala ya forwards!
Mkuu kama hizi habari ni za Ndani siku zikiwa hazarani ntafarijika sana......Huyo tayari mkuu na jezi yake ni no8 ndiyo kaandaliwa!
Mkuu hivi ujui kuwa dole gumba(biological) ni salama zaidi kuliko ile ya kukoroga ambayo ni rahisi kugushiwa.Yaani hadi leo saini huwekwa kwa dole gumba? Hebu wahusika jirekebisheni jamani, mnadhalilisha watu
Wewe ndio hamna kabisa kichwani!? Saini ya dole gumba ndio original huwezi kufojiYaani hadi leo saini huwekwa kwa dole gumba? Hebu wahusika jirekebisheni jamani, mnadhalilisha watu
Huko shule ulienda kusomea ujinga?Yaani hadi leo saini huwekwa kwa dole gumba? Hebu wahusika jirekebisheni jamani, mnadhalilisha watu
Mbona hujamwonea huruma Niyonzima? Mpira ni maslahi kaka! Kama kayapata Yanga mwache aende tu!Namuonea ajib huruma, ana ndoto fupi kiasi hiki! Anaenda sideways badala ya forwards!
Mkuu kama ni yule dogo wa Mbeya city nakuhakikishia maongezi yameshakamilika na akitoka Sauz tu anakuja kumwaga wino believe me.Mkuu kama hizi habari ni za Ndani siku zikiwa hazarani ntafarijika sana......
Huwa nafurahishwa sana pale tupo sajili kijana mdogo mwenye kipaji.....!
Ati nini?????dogo kapishana na ubingwa
Umenikumbusha mbali sana,kuna mtu alishawahi kukiri sahihi ni ya kwake kwenye mkataba fulani lkn alikataa kamwe hajawahi kusaini hcho kitu na wala haujui kabisaUna muda gani hujawahi kuona watu wakisaini mikataba binafsi? saini za kukoroga zinaweza kufojiwa kirahisi sana ila finger print ni komesha kazi
Na Okwi na Boban wameenda which way instead of which?Namuonea ajib huruma, ana ndoto fupi kiasi hiki! Anaenda sideways badala ya forwards!
Sikutegemea kabisa ndugu wakili msomi mselewa huulizie au upigwe na bumbuwazi juu ya kutumia dole gumba katika muktadha wa masuala ya mikatabaYaani hadi leo saini huwekwa kwa dole gumba? Hebu wahusika jirekebisheni jamani, mnadhalilisha watu