Rasmi katika mfungo wangu Mungu kanipa code ambayo inapatikana kileleni mwa mlima Kilimanjaro

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Amani ya Bwana ikawe juu yenu wana jf kila mmoja kwa imani yake .

Nimekua kwenye maombi mazito sana juu ya taifa langu ,kuamukia leo Mungu wangu kanipa codes flani hivi ambapo itanibidi mimi mwenyewe kufika juu na kileleni mwa mlima Kilimanjaro.

Naomba kujuzwa taratibu zote za kufuata ili niweze kufanikisha hili mapema sana ,

Natanguliza shukrani kwa msaada wako katika hili.
Thanks
 
Amani ya Bwana ikawe juu yenu wana jf kila mmoja kwa imani yake .

Nimekua kwenye maombi mazito sana juu ya taifa langu ,kuamukia leo Mungu wangu kanipa codes flani hivi ambapo itanibidi mimi mwenyewe kufika juu na kileleni mwa mlima kilimanjaro.

Naomba kujuzwa taratibu zote za kufuata ili niweze kufanikisha hili mapema sana ,

Natanguliza shukrani kwa msaada wako katika hili.
Thanks
Kuamukia ni kiswahili cha wapi? Kama una afya mgogoro mwombe Mungu apeleke hayo maono pale Kilimanyege, Masaki ili iwe rahisi kwako kuweza kuyapata. Mlima KIlimanjaro kuupanda inabidi uwe fit.
 
Sikutegemea mtu bandia kama wewe kujisogeza katika andiko hili
 
Back
Top Bottom