BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
hahahah. Watu dizaini hii hauhitaji kuwapiga li ngumi kuubwa ni kidogo tu ila sehem nyeti lazima wazimeHuyo jamaa hawezi rudi... mlichofanya ni ukatili kwa mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah. Watu dizaini hii hauhitaji kuwapiga li ngumi kuubwa ni kidogo tu ila sehem nyeti lazima wazimeHuyo jamaa hawezi rudi... mlichofanya ni ukatili kwa mtoto
Hahahaha, hayo yote uliyotaja ni mambo madogo, lakini "main issue", ni kurudishwa kwa nafasi ya Waziri mkuu, ambaye atatoka miongoni mwa wabunge, atateuliwa na rais, Kuwepo na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani, ambaye ni kiongozi wa chama kilichoshika nafasi ya pili katika kura za urais na wabunge, na kuchagua mawaziri kutoka katika wabunge, Haya yote ni kutoka Tanzania. Usijisikie vibaya kuiga jambo zuri toka kwa jirani yako anayefanya vizuri.Other than PM, nothing in the 130+ page report compares in any way to Tanzania.
Here are more highlights which you think are also copied from Tanzania, right?
Returning to leader of official opposition - Copied from Tanzania
Wealth above Sh50 million must be explained - Tanzania
Renaming Boxing day to cultural day - Tanzania
Renaming NCIS to ethics commission - Tanzania
Making all government services and process digital - Tanzania
Male governor must have female deputy - Tanzania
Giving Nairobi a special status for revenue allocation - Tanzania
Giving whistleblowers a portion of recovered money - Tanzania
Ensuring all roads have sidewalks - Tanzania
You people need to have your heads checked. You are an LDC with huge delusions of grandeur.
Source - PM Post Returns, MPs as Ministers, Status of Nairobi County: Most Controversial BBI Recommendations
Kenya is a confused country, they don't know exactly what they need, very frustrated community.Duuh tuliaminishwa katiba mpya ya Kenya niyakuigwa saizi wanataka kuja kucopy yetu tena? Nawaonea huruma sana wanasiasa wana kazi ngumu sana hasa watz waliyokuwa wanaiimba katiba ya Kenya.
Kazi ya siasa ningumu sana
Kenya swala la vyeo vya juu ndio shida kubwa iliopo kulingana na wataalam na wanasiasa wengi..Hayo mabadikiko mengine madogo madogo sio hoja..Tulia Ripoti ikitoka nita nukuu mahali Wametaja Tanzania nchi ya Maziwa na asali
Hahahaha, hayo yote uliyotaja ni mambo madogo, lakini "main issue", ni kurudishwa kwa nafasi ya Waziri mkuu, ambaye atatoka miongoni mwa wabunge, atateuliwa na rais, Kuwepo na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani, ambaye ni kiongozi wa chama kilichoshika nafasi ya pili katika kura za urais na wabunge, na kuchagua mawaziri kutoka katika wabunge, Haya yote ni kutoka Tanzania. Usijisikie vibaya kuiga jambo zuri toka kwa jirani yako anayefanya vizuri.
Jombaa ukikubali kuwa bendera fata upepo kwenye nyuzi kama hizi za kupotosha utajiabisha bure. Katiba mpya ya Kenya haibadilishwi, ipo pale pale. Kinachoendelea sasa hivi ni mjadala kuhusu MAREKEBISHO kwenye katiba, kupitia intiative ya BBI(Building Bridges Intiative), kutoka kwa rais Uhuru na Rt. Hon Raila Odinga na timu yao. BBI ni kiendelezo cha handshake ya Uhuru na Raila baada ya uchaguzi uliopita. Handshake na sasa ripoti ya BBI zinanuia kutupilia mbali fujo na vurugu za kila wakati wa uchaguzi. Tunatatua shida zetu kama wakenya kwa njia tuijuayo sisi na tunayoikubali.Duuh tuliaminishwa katiba mpya ya Kenya niyakuigwa saizi wanataka kuja kucopy yetu tena? Nawaonea huruma sana wanasiasa wana kazi ngumu sana hasa watz waliyokuwa wanaiimba katiba ya Kenya.Kazi ya siasa ningumu sana
Sasa hiyo 1% ndio muhimu zaidi..Kumbuka vuguvugu ya ODM ilianza na kibaki kukataa cheo cha waziri mkuu 2005. Mwaka wa 2007 wakenya wakachinjana hadi Odinga akapewa cheo hicho.Utatafuta sana.
99% ya ripoti haiongei kuhusu vyeo.
Na hio 1% ambayo inaongea kuhusu vyeo, majority vinabaki vilivyo sasa hivi.
Ni ukweli ulio wazi japo ni ngumu kukubali, nao kwamba Kenya imeiga Tanzania katika haya mabadiliko yanayopendekezwa. Hivi kwanini unapinga wakati wajumbe wa kamati walioandaa hiyo " Document" wameitaja Tanzania kama nchi iliyotumika kama " reference? ".Sawa LDC member.
Kenya imekuwa na official Opposition leader kutoka 1963 hadi 2010. Lakini LDC mnadhani tumewaiga.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenya imekuwa ikichagua mawaziri kutoka bunge kutoka 1963 hadi 2010. Lakini LDC inadhani tumewaiga.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu ungekuwa na uwezo wa kusoma hio BBI, ungeona kwamba mawaziri haijasemekana lazima watoke bunge. Raisi ameambiwa anaweza chagua kokote.
Hahahaha, wewe pimbi kweli, BBI inazungumzia kubadilisha mfumo mzima wa uongozi wa nchi, wewe unasema katiba haibadilishwi. Hivi bila kuingiza vipengele vya Kuwepo kwa Waziri mkuu anayeteuliwa na rais katika katiba, hiyo nguvu ya uteuzi rais atapata wapi?.Jombaa ukikubali kuwa bendera fata upepo kwenye nyuzi kama hizi za kupotosha utajiabisha bure. Katiba mpya ya Kenya haibadilishwi, ipo pale pale. Kinachoendelea sasa hivi ni mjadala kuhusu MAREKEBISHO kwenye katiba, kupitia intiative ya BBI(Building Bridges Intiative), kutoka kwa rais Uhuru na Rt. Hon Raila Odinga na timu yao. BBI ni kiendelezo cha handshake ya Uhuru na Raila baada ya uchaguzi uliopita. Handshake na sasa ripoti ya BBI zinanuia kutupilia mbali fujo na vurugu za kila wakati wa uchaguzi. Tunatatua shida zetu kama wakenya kwa njia tuijuayo sisi na tunayoikubali.
Sasa hiyo 1% ndio muhimu zaidi..Kumbuka vuguvugu ya ODM ilianza na kibaki kukataa cheo cha waziri mkuu 2005. Mwaka wa 2007 wakenya wakachinjana hadi Odinga akapewa cheo hicho.
Hayo mambo mengine ni ya kujazia jazia tuu..Muhimu ni Prime minister
Tanzania nayo ina katiba[emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, hii ni photocopy ya Tanzania, sasa kwanininapoteza pesa mingi badala ya kusema mnatoa " copies" za katiba ya Tanzania?
1)Mlianza kwa kudhibiti na kupitia mishahara ya viongozi na watumishi wa umma(Kama alivyofanya Magufuli)
2)Mkakataza mashirika na Kampuni za Umma kuweka pesa zao katika mabenki ya kibiashara(Kama Magufuli)
3)Uhuru akaanzisha zoezi la kutafuta "Ghost workers" (Kama Magufuli)
4)Nationalization of KQ(Magufuli)
5)Sasa mnarudisha mfumo wa serikali kama wa Tanzania.
Ni jambo zuri sana kujifunza toka kwa jirani yako wa karibu abayefanya vizuri, badala ya kuiga Marekani ambako ni mbali sana na mazingira tofauti kabisa.
Hvyo vitu vyote vilikuwepo...confused danzagiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, hayo yote uliyotaja ni mambo madogo, lakini "main issue", ni kurudishwa kwa nafasi ya Waziri mkuu, ambaye atatoka miongoni mwa wabunge, atateuliwa na rais, Kuwepo na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani, ambaye ni kiongozi wa chama kilichoshika nafasi ya pili katika kura za urais na wabunge, na kuchagua mawaziri kutoka katika wabunge, Haya yote ni kutoka Tanzania. Usijisikie vibaya kuiga jambo zuri toka kwa jirani yako anayefanya vizuri.
Ni ukweli ulio wazi japo ni ngumu kukubali, nao kwamba Kenya imeiga Tanzania katika haya mabadiliko yanayopendekezwa. Hivi kwanini unapinga wakati wajumbe wa kamati walioandaa hiyo " Document" wameitaja Tanzania kama nchi iliyotumika kama " reference? ".
Wewe hilo la kwamba Raila alitaka powerful PM umelipata wapi?, kwasababu Raila sasa hivi hafikirii tena kuwa PM, yeye anafikiria kuwa rais, Uhuru Kenyatta ndiye kwa sasa anafikiria kuwa rais, hiyo ya Powerful PM ilikua na baada ya PEV 2007, "update your brain please"Alichotaka Raila ni PM powerful, asiyefutwa na yeyote.
Recommendation ya BBI haina lolote kama hilo. PM figurehead serving at the pleasure of the president. Anaweza futwa kwa taarifa ya saa saba.
In fact, Matiang'i wa saa hii ako na nguvu hizo hizo zilizoandikwa kwa BBI.