eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Kwanini waitaje hata kama ni Mara moja?, kwanini wasitaje hizo nchi za wazungu japo hiyo Mara moja?, ni nchi gani kati ya hizo za wazungu ambazo PM anateuliwa na rais?.
The fact that you have mentioned Tanzania even once in a very important document like this, signifies the importance of Tanzania to Kenya.
Hata kama Tanzania isingetanywa, lakini kitendo cha kufanya kama tunavyofanya Tanzania, ni dalili fika kwamba mnatuiga, kwasababu matamshi Mengi ya wanasiasa mbalimbali na wananchi wa Kenya wamekuwa wakiitaka serikali na viongozi wa Kenya kuiga mfano wa Tanzania
DRC wabunge wanalia na rais wao kuwa katumia USD 50+mio kwa ajili ya safari kwa miezi 6. Wanasema safari hizo hazina tija. Mbona Magufuli haendi hizo safari na nchi yake inasitawi tuu.