RASMI - Kenya ita Copy Katiba Ya Tanzania kwa Mfumo wa serikali

Na tanzania ina patent ya hio Katiba ? ndio walikuwa waanzilishi ? tuache kutumia muda mwingi kutafuta mazuri yapo wapi badala ya kutumia muda huo kufanya mazuri..
 
Hahahaha, hayo yote uliyotaja ni mambo madogo, lakini "main issue", ni kurudishwa kwa nafasi ya Waziri mkuu, ambaye atatoka miongoni mwa wabunge, atateuliwa na rais, Kuwepo na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani, ambaye ni kiongozi wa chama kilichoshika nafasi ya pili katika kura za urais na wabunge, na kuchagua mawaziri kutoka katika wabunge, Haya yote ni kutoka Tanzania. Usijisikie vibaya kuiga jambo zuri toka kwa jirani yako anayefanya vizuri.
 
Duuh tuliaminishwa katiba mpya ya Kenya niyakuigwa saizi wanataka kuja kucopy yetu tena? Nawaonea huruma sana wanasiasa wana kazi ngumu sana hasa watz waliyokuwa wanaiimba katiba ya Kenya.

Kazi ya siasa ningumu sana
Kenya is a confused country, they don't know exactly what they need, very frustrated community.
 
kennedy0000,

Kenya swala la vyeo vya juu ndio shida kubwa iliopo kulingana na wataalam na wanasiasa wengi..Hayo mabadikiko mengine madogo madogo sio hoja..Tulia Ripoti ikitoka nita nukuu mahali Wametaja Tanzania nchi ya Maziwa na asali
 
There are so many countries around the world with such constitutions. Why are you giving yourselves credit? This is epitome of inferiority complex. That constitution, if if adopted, has many variations from your constitution. How many countries have prime ministers in Africa?
 
Kenya swala la vyeo vya juu ndio shida kubwa iliopo kulingana na wataalam na wanasiasa wengi..Hayo mabadikiko mengine madogo madogo sio hoja..Tulia Ripoti ikitoka nita nukuu mahali Wametaja Tanzania nchi ya Maziwa na asali

Utatafuta sana.
99% ya ripoti haiongei kuhusu vyeo.

Na hio 1% ambayo inaongea kuhusu vyeo, majority vinabaki vilivyo sasa hivi.
 

Sawa LDC member.

Kenya imekuwa na official Opposition leader kutoka 1963 hadi 2010. Lakini LDC mnadhani tumewaiga.. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kenya imekuwa ikichagua mawaziri kutoka bunge kutoka 1963 hadi 2010. Lakini LDC inadhani tumewaiga.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alafu ungekuwa na uwezo wa kusoma hio BBI, ungeona kwamba mawaziri haijasemekana lazima watoke bunge. Raisi ameambiwa anaweza chagua kokote.
 
Duuh tuliaminishwa katiba mpya ya Kenya niyakuigwa saizi wanataka kuja kucopy yetu tena? Nawaonea huruma sana wanasiasa wana kazi ngumu sana hasa watz waliyokuwa wanaiimba katiba ya Kenya.Kazi ya siasa ningumu sana
Jombaa ukikubali kuwa bendera fata upepo kwenye nyuzi kama hizi za kupotosha utajiabisha bure. Katiba mpya ya Kenya haibadilishwi, ipo pale pale. Kinachoendelea sasa hivi ni mjadala kuhusu MAREKEBISHO kwenye katiba, kupitia intiative ya BBI(Building Bridges Intiative), kutoka kwa rais Uhuru na Rt. Hon Raila Odinga na timu yao. BBI ni kiendelezo cha handshake ya Uhuru na Raila baada ya uchaguzi uliopita. Handshake na sasa ripoti ya BBI zinanuia kutupilia mbali fujo na vurugu za kila wakati wa uchaguzi. Tunatatua shida zetu kama wakenya kwa njia tuijuayo sisi na tunayoikubali.
 
Utatafuta sana.
99% ya ripoti haiongei kuhusu vyeo.

Na hio 1% ambayo inaongea kuhusu vyeo, majority vinabaki vilivyo sasa hivi.
Sasa hiyo 1% ndio muhimu zaidi..Kumbuka vuguvugu ya ODM ilianza na kibaki kukataa cheo cha waziri mkuu 2005. Mwaka wa 2007 wakenya wakachinjana hadi Odinga akapewa cheo hicho.
Hayo mambo mengine ni ya kujazia jazia tuu..Muhimu ni Prime minister
 
Ni ukweli ulio wazi japo ni ngumu kukubali, nao kwamba Kenya imeiga Tanzania katika haya mabadiliko yanayopendekezwa. Hivi kwanini unapinga wakati wajumbe wa kamati walioandaa hiyo " Document" wameitaja Tanzania kama nchi iliyotumika kama " reference? ".

Ninarudia tena, wivu usikufanye ukashindwa kuiga mambo mazuri ya jirani yako. Kenya ni " Failed" state kwasababu ya kukosekana mifumo bora ya uongozi.

Kenya ni "Failed state" kwasababu ya viongozi wenu kutojua nini wabachokifanya, kila siku mnageuza mifumo ya uongozi, na bado hampati ufumbuzi wa matatizo yenu. Nafasi ya Waziri mkuu alikuja kuwashauri Kikwete baada ya kuchinjana, akapewa Raila Odinga, baada ya miaka 5 mkaiondoa, miaka kumi baadae mnairudisha, swali la kujiuliza, mlitumia vigezo gani kufuta nafasi ya Waziri mkuu, na sasa hivi mnatumia vigezo gani kuirudisha?, ninyi kweli mumechanganyikiwa, "Typical Failed state".
 
Hahahaha, wewe pimbi kweli, BBI inazungumzia kubadilisha mfumo mzima wa uongozi wa nchi, wewe unasema katiba haibadilishwi. Hivi bila kuingiza vipengele vya Kuwepo kwa Waziri mkuu anayeteuliwa na rais katika katiba, hiyo nguvu ya uteuzi rais atapata wapi?.

Hivi wewe una akili kweli, marekebisho ya katiba maana yake ni kubadilisha vipengele vya katiba, ila kuandika katiba mpya maana yake ni kubadilisha katiba yote. Tumia akili yako sio kusikiliza TV
 
Sasa hiyo 1% ndio muhimu zaidi..Kumbuka vuguvugu ya ODM ilianza na kibaki kukataa cheo cha waziri mkuu 2005. Mwaka wa 2007 wakenya wakachinjana hadi Odinga akapewa cheo hicho.
Hayo mambo mengine ni ya kujazia jazia tuu..Muhimu ni Prime minister

Alichotaka Raila ni PM powerful, asiyefutwa na yeyote.
Recommendation ya BBI haina lolote kama hilo. PM figurehead serving at the pleasure of the president. Anaweza futwa kwa taarifa ya saa saba.

In fact, Matiang'i wa saa hii ako na nguvu hizo hizo zilizoandikwa kwa BBI.
 
Wewe hauna hata uwezo wa akili wa kusoma ripoti.
Tanzania appears once, kwa ripoti ya kurasa zaidi ya 130.

''Establishing the position of PM, to be appointed by the president like Tanzania''.

That's the only reference to your LDC in the whole report.

And it's not something unique to your bongolala LDC. France, Russia, South Korea etc. also do the same.
It's also something that was discussed even before NARC came to power.

Sasa wajinga mkadhani walikaa chini kusoma katiba yenu ili watengeneze hii ripoti?

Rudi kazi kijana, mtaishi kwa umaskini hadi lini?
 
Tanzania nayo ina katiba[emoji1787][emoji1787]
 
Hvyo vitu vyote vilikuwepo...confused danzagiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Your delusions of grandeur collapse again.
The whole official document is out. Not even a single mention of Tanzania... ZERO. in all 156 pages.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

It was just some crazy bongolala's making up documents online.

 
Wewe hilo la kwamba Raila alitaka powerful PM umelipata wapi?, kwasababu Raila sasa hivi hafikirii tena kuwa PM, yeye anafikiria kuwa rais, Uhuru Kenyatta ndiye kwa sasa anafikiria kuwa rais, hiyo ya Powerful PM ilikua na baada ya PEV 2007, "update your brain please"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…