Rasmi: Kwa alivyotetea ukweli kwenye suala la Bandari, Tulia Ackson Mwansasu apewe kijiti 2030 kuongoza Tanzania

Huo ni mtazamo wako.

Kwangu naona yuko vizuri. Akiendelea hivi na akajijenga zaidi ki exposure nitashauri kwa chama ndo ashike kijiti 2030
Huo ushauri unaenda kuutolea kwenye Chama gani? Tangu lini CCM ikapokea ushauri kutoka kwa watu wa aina yako?
 
Kuliko wajivuni wawili Maderu na Kipara. Tulia is the best candidate 2030 CCM msifanye kosa
 
Hapa kuna code muhimu sana umetoa mkuu "nitashauri kwa chama"
Hahaa hii nchi bhana
 
Ukweli umekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.

Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu

Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.

Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.
JamiiForums-1147096054.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ushauri unaenda kuutolea kwenye Chama gani? Tangu lini CCM ikapokea ushauri kutoka kwa watu wa aina yako?
Endelea hivyo hivyo kutokuelewa namna ushauri wangu unavofanyiwa kazi na nchi na chama
 
Ukweli umekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.

Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu

Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.

Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.
Pia miaka 15 baadae uwepo na uje na matokeo na mafanikio ya kipindi hicho.
 
Kuliko wajivuni wawili Maderu na Kipara. Tulia is the best candidate 2030 CCM msifanye kosa
Ajijenge na awe mtulivu. Kwenye hili ametuimpress sana tunaojua dunia iko wapi na inaenda wapi!
 
Back
Top Bottom