RASMI: Massanza ni Msemaji wa Singida Black Stars

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Wadau wa Soka

Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano.

Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie 🙏🏾

IMG_0589.jpeg
 
Msemaji kuna swali hapa:
Kwanini timu imebadilishwa jina lakini imeanza na jina lile lile la Singida..... Kwanini Singida? Na tunajua na wewe umetoka kwenye timu ambayo pia inaanzia na Singida je kwanini iwe Singida na sio Morogoro au Iringa?
 
Kwa sababu imehamishia makazi yake Singida na itakuwa fahari ya watu wa Singida!
 
Wadau wa Soka

Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano.

Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie 🙏🏾

View attachment 3014262
Singida Utd
Singida Big Stars
Singida Fountain Gate
Ihefu
Singida Black Stars
Singida Wajemeni FC......
 
Back
Top Bottom