RASMI: Massanza ni Msemaji wa Singida Black Stars

RASMI: Massanza ni Msemaji wa Singida Black Stars

Mkuu, mi nina mambo mawili:

(2) Katika ofisi yako, ebu wekeza zaidi katika vitengo vya social media, kuanzia YouTube, Meta Platforms etc, kuwe na watu active, creative na best graphics/media.

(1) Hii si ndio iHefu au mi namix?
IMG_0273.jpeg

Otherwise, kila lakheri mkuu.
 
Wadau wa Soka

Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano.

Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie [emoji1488]

View attachment 3014262
Kila la kheri Masanza kijana muungwana Sana [emoji106]
 
Wadau wa Soka

Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano.

Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu ni

Wadau wa Soka

Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano.

Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie 🙏🏾

View attachment 3014262
Oya semaji hongera, check inbox.
 
Niliwahi kukuuliza swali kama unampango wa kuhamia Black stars (ihefu) ukasema hauba

Ngoja niutafute ule uzi wangu nikukumbushe
Halafu nakumbuka na mimi nilimuambia amekimbia njaa tu Singida Fountain Gate! Hakuna kingine.

Boss wake Lameck kila siku anabadilisha tu majina ya timu yake. Sijui kuna biashara gani anaifanya nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom