Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Unakataaje notiNiliwahi kukuuliza swali kama unampango wa kuhamia Black stars (ihefu) ukasema hauba
Ngoja niutafute ule uzi wangu nikukumbushe
Hongera sana mkuu.
Ila punguza mwili huo. Khaaah
Semaji la kwenye alizeti
Kila la heri Mkuu πππ
Upige mwingi timu isikike.
Msemaji kuna swali hapa:
Kwanini timu imebadilishwa jina lakini imeanza na jina lile lile la Singida..... Kwanini Singida? Na tunajua na wewe umetoka kwenye timu ambayo pia inaanzia na Singida je kwanini iwe Singida na sio Morogoro au Iringa?
Je utakuwa kama hawa wengine wasiozingatia weledi wa kazi zao nakufata mihemko!?
Niliwahi kukuuliza swali kama unampango wa kuhamia Black stars (ihefu) ukasema hauba
Ngoja niutafute ule uzi wangu nikukumbushe
Singida UtdWadau wa Soka
Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano.
Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie ππΎ
View attachment 3014262